SIMBA RAHA AISEE, BAADA YA KUSAINI MIAKA MIWILI GADIEL AONESHA NDINGA YA MAANA

0
Baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Simba SC, beki Gadiel Michael ameweka hadharani ndinga yake mpya...

COASTAL UNION YAUPIGIA HESABU KALI MSIMU UJAO

0
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Juma Mgunda amesema kuwa msimu ujao watapambana kupata matokeo chanya kwenye michezo yao yote.Akizungumza na Saleh Jembe, Mguda amesema...

UONGOZI WA YANGA KULA SAHANI MOJA NA WAPIGAJI WA NEMBO

0
UONGOZI wa klabu ya Yanga umewataka mashabiki na wadau wa Yanga kuacha vitendo vya kuihujumu nembo ya Yanga kwa kuchukua bidhaa feki kwani tayari...

KUMEKUCHA. YANGA, SIMBA KUSAJILI KWA FAINI

0
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema kuwa timu zote zinazoshiriki Ligi Kuu Bara zinapaswa kukamilisha usajili kwa njia ya mtandao (Tanfootball Connect) kabla ya...

SIMBA YAAHIDI KUCHUKUA MATAJI YOTE TANZANIA – VIDEO

0
Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara akizungumzia kuhusiana na suala la timu yao kuendelea kuchukua mataji ya Ligi Kuu Bara.

LUKAKU APATA TIMU MBADALA

0
INTER Milan imethibitisha kuwa ipo kwenye harakati za kumsajili straika wa Manchester United, Romelu Lukaku. Kocha wa Inter Milan, Antonio Conte anamtaka Lukaku ili...

MNAMIBIA WA YANGA KUMBANA NA MTIHANI MZITO

0
UONGOZI wa Yanga hivi karibuni umemkabidhi mshambuliaji wake raia wa Namibia, Sadney Urikhob jezi namba 17 ambayo ilikuwa ikivaliwa na Mrundi, Amissi Tambwe.Kutokana na...