NINJA WA YANGA ATIMKIA KUKIPIGA MAREKANI

0
Abdalah Shaibu ‘Ninja’ amesaini kandarasi ya miaka minne akitokea timu ya Yanga kuitumikia timu ya MKF Vyskov ya Jamhuri ya Czech.Timu hiyo imemtoa kwa...

MAMA KANUMBA: BABA KANUMBA ALIKUWA MCHEPUKO WANGU TU! – VIDEO

0
MAMA wa aliyekuwa staa wa Bongo Movie, marehemu Steven Kanumba, Bi. Flora Mtegoa, amesema hakuwahi kuolewa na baba wa mtoto wake huyo (mzee Charles...

OKWI ATAKA 115M KWA MWAKA SIMBA

0
STRAIKA wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi ameyaamsha tena mambo ndani ya klabu yake hiyo baada ya kuwaambia viongozi kwamba kama wanataka asalie klabuni hapo,...

SIMBA YAMALIZANA NA KIFAA KUTOKA TP MAZEMBE, KILIWAHI KUCHEZA KOMBE LA DUNIA

0
Kazi ya kusajili wakali watakaohakikisha kikosi cha Mabingwa kinazidi kuwa tishio kwa wapinzani inaendelea.Mshambuliaji raia wa Congo DR, Deo Kanda (29) amejiunga na Mabingwa...

AMUNIKE AENDELEZA DHARAU, ASISITIZA HANA CHA KULAUMIWA

0
Na Saleh Ally, CairoKOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike ameendelea kusisitiza kwamba yeye hana cha kulaumiwa.Amunike amesema mara baada ya Stars kupoteza mchezo...

WAKATI UMEFIKA TUMEACHE AMUNIKE AENDE ZAKE SALAMA, TUSONGE

0
NA SALEH ALLYMIAKA 39 michuano ya Kombe la Mataifa Afrika maarufu kama Afcon kwetu ilikuwa ni hadithi. Safari hii timu yetu ipo hapa jijini Cairo...

HATMA YA ZAHERA NA YANGA JUU YA MKATABA MPYA HII HAPA

0
UONGOZI wa Klabu ya Yanga upo mbioni kumuongezea mkataba mpya kocha wake mkuu Mkongomani, Mwinyi Zahera wa kuendelea kukinoa kikosi hicho. Mkongomani huyo alijiunga...

JESHI KAMILI LA YANGA HILI HAPA, SALAAM ZAO WAPINZANI

0
YANGA ndiyo timu pekee iliyofanya usajili wa haraka na kukamilika kabla dirisha la usajili kufunguliwa rasmi jana.Dirisha hilo la usajili linatarajiwa kufungwa Julai 31,...