SIMBA WAPOKELEWA LEO DAR NA MASHABIKI KIBAO, BODABODA ZATIA FORA
MASHABIKI wa Simba leo wameungana na wachezaji pamoja na benchi la ufundi kuipokea timu kutoka Morogoro ikiwa imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara.Mashabiki hao...
KIKOSI CHA TIMU SAMATTA, NIFUATE PROJECT JUNI 2 UWANJA WA TAIFA
KIKOSI cha nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Mbwana Samatta kitakachoshuka uwanja wa Taifa Juni 2 kumenyana na kikosi cha mshambuliaji...
MABOSI SIMBA WAACHANA NA OKWI
MABOSI wa Simba wameuweka pembeni mkataba wa Emmanuel Okwi kwa kile kilichotajwa kutaka dau kubwa la usajili kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi...
SAMATTA AUNGANA NA SERIKALI KUFANYA JAMBO LA KIHISTORIA
SERIKALI imesema itaendelea kumsaidia kwa hali na mali Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, anayechezea Klabu ya Genk ya Nchini Ubelgiji...
BREAKING NEWS: BODI YA LIGI YAKIRI KUBORONGA, YAISHUSHA STAND UNITED, KAGERA YAENDA PLAY OFF
Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) imetangaza kufanya marekebisho katika msimamo wa Ligi Kuu Bara huku ikisema itachukua hatua kwa watunza takwimu wake waliopotosha.Awali ilionekana...
Ni Stand United, sio Kagera Sugar
Timu ambayo ilikuwa inasubiriwa kushuka daraja kuungana na African Lyon imepatikana rasmi. Baada ya sintofahamu kutokea jana wakati ligi ilipomalizka. Stand United...
NEYMAR KUUNGANA NA MESSI PAMOJA NA SUAREZ BARCELONA: TETESI ZA LEO JUMATANO HIZI HAPA
Mshambuliaji wa Manchester United Mbelgiji Romelo Lukaku upo tayari kukatwa mshahara ili ahamie klabu ya Inter Milan hivi karibuni. (Gazzetta dello Sport)Kocha wa Man...