OHHH….UMESIKIA YA FADLU HUKO๐๐ …JAMAA BADO ANATAKA MSHAMBULIAJI…AITAJA YANGA…
LICHA ya kocha Fadlu Davids, kusifu usajili uliofanyika, bado amesema anahitaji mshambuliaji mmoja mwenye uwezo wa kufanya maamuzi binafsi mbele ya lango la pinzani.
Akizungumza...
PAMOJA NA OFA YA BIL 2 MEZANI ….HIZI HAPA SABABU ZA NDAANI KABISA...
KELELE na tetesi nyingi zilizokuwa zikimuhusisha mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize kutakiwa na timu mbalimbali za ndani na nje ya Afrika, zimezimwa rasmi na...
BAADA YA RATIBA KUTOKA…HIZI HAPA TAREHE ZOTE ZA DABI KWA MSIMU HUU….YANGA KAMA KAWA..
RATIBA ya Ligi Kuu Tanzania Bara ya NBC 2025/26 kwa sasa ipo wazi. Ni Septemba 17 2025 kivumbi kinarejea na mabingwa watetezi wakiwa ni...
NANI UNAMPA NAFASI YA USHINDI LEO NA MERIDIANBET?…..
Wakali wa ubashiri leo hii wanakukaribisha uweze jamvi lako la uhakika hapa kwani mechi nyingi zipo uwanjani, kuanza kule Uingereza, Ujerumani, Italia, Ufaransa na...
MERIDIANBET INAKUPA FURSA YA KUSHINDA LEO….
Je unajua kuwa leo hii unaweza kuanza ushindi wako na Meridianbet siku ya leo kwa kubashiri mechi za kufuzu Europa siku ya leo. Mechi...
MYSTERY MULTIPLIER DROP KUBADILISHA MAISHA YAKO KUPITIA MERIDIANBET…
Wapenzi wa kasino mtandaoni wanashuhudia kampeni mpya ya kipekee kutoka Meridianbet, inayojulikana kama Mystery Multiplier Drop. Kampeni hii imeibua msisimko mkubwa kwani kila mzunguko...
KINONDONI MANYANYA YAFURAHIA UJIO WA MERIDIANBET…
Ujio wa Meridianbet pale Kinondoni Manyanya umekuwa wa furaha sana kwa watu wenye ulemavu wa macho ambao leo hii Ijumaa wamefikiwa na kampuni ya...
KUELEKEA MSIMU MPYA ….FADLU AITILIA NGUMU CAF MAPEMAAH….AFUNGUKA ISHU YA ZNZ……
SIKU chache tu baada ya kupangiwa kucheza dhidi ya Gaborone United ya Botswana, Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, ameichambua timu hiyo, huku akiweka...
WAKATI SIMBA WAKIIPIGA JICHO TAREHE 16…..MPANGO WA YANGA HUU HAPA….
KLABU ya Yanga imeanza mikakati kabambe ya kuhakikisha inapata ushindi katika mchezo wake wa Ngao ya Jamii dhidi ya watani zao wa jadi, Simba,...
BAADA ATEBA KUUZWA SIMBA…EDO KUMWEMBE ATUPA DONGO KWA FADLU….
LEONEL Ateba amepewa โthank youโ pale Msimbazi. Simba wamepata sehemu nzuri ya kutokea kwa Ateba. Hawana lawama naye kwa sababu wamemuuza kwenda katika klabu...