Habari za Yanga leo

WAKATI WAKIKIWASHA CAF LEO…..FOLZ AWAPA ‘UKWELI MCHUNGU’ MASHABIKI YANGA….

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Romain Folz, amesema kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Silver Strikers ya Malawi...
Habari za Simba leo

HUU HAPA UKWELI KUHUSU BAJABER….SIMBA WAKIRI KUINGIA ‘CHA KIKE’….FADLU ATAJWA….

0
KLABU ya Simba imethibitisha kuwa mchezaji wao, Mohamed Bajaber ambaye tangu asajiliwe kutoka Police ya Kenya hajaonekana uwanjani kutokana na majeraha, ameanza mazoezi kuelekea...
Meridianbet

MERIDIANBET WAMKARIBISHA IMOON, MTOA HUDUMA MPYA MICHEZO YA KASINO MTANDAONI..

0
Meridianbet wamewaletea wateja wao habari njema baada ya kumtambulisha rasmi mtoa huduma mpya wa michezo ya kasino, iMoon Gaming, ambaye anachagiza mapinduzi makubwa kwenye...
Meridianbet

USIKU WA SOKA ULAYA, MERIDIANBET YAKUWEKEA ODDS ZA KIFALME…

0
Hii ni kubwa kwa mashabiki wa soka kote Duniani. Leo ni siku ya kuchangamka na kuibuka tajiri. Mechi nne kali kutoka ligi maarufu barani...
Habari za Azam FC

KUHUSU REKODI NA MECHI ZA CAF…IBENGE AWAPIGA ‘MKWARA’ MASTAA WOTE AZAM FC…

0
KATIKA misimu 10 ya ushiriki wa michuano ya kimataifa iliyo chini ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Azam FC haijawahi kufuzu hatua...
Meridianbet

TIKETI INAYOKOSA, INASHINDA! LUCKY LOSER YAONGEZA THAMANI YA KILA DAU…

0
Kwa mara nyingine tena, Meridianbet imeleta kipya kinachobadilisha mchezo wa kubashiri. Promosheni ya Lucky Loser kwenye Win&Go imezinduliwa rasmi — ambapo tiketi yoyote yenye...
Meridianbet

USHINDI WA HARAKA NA BURUDANI ISIYO NA MWISHO, KARIBU MERIDIANBET VIRTUALS…

0
Meridianbet Virtuals imekuja kubadilisha mchezo mzima wa ubashiri nchini Tanzania. Hapa, kila sekunde ni nafasi mpya ya kushinda, kila dakika ni mchezo mpya, na...
Habari za Yanga leo

MAMBO YA FOLZ HUKO YANGA MHHHH…..ALI KAMWE ‘ACHANA JAMVI’ MAPEMA….

0
HATMA ya Kocha Mkuu wa Yanga, Romain Folz, kuendelea na kibarua cha kuinoa timu hiyo au la itajulikana leo baada ya uongozi wa klabu...
Meridianbet

MERIDIANBET YAKULETEA TRICK OR TREAT BONANZA….CHEZA KUSHINDA…

0
Wapenzi wa michezo ya kasino, msimu wa Halloween umefika na Meridianbet imekuandalia zawadi ya kusisimua zaidi kupitia mchezo mpya wa Trick or Treat Bonanza....
Habari za Simba leo

ISHU YA CAMARA YASHTUA SIMBA…MABOSI WAHAHA KUWEKA MAMBO SAWA…

0
HII inaweza isiwe taarifa njema kwa mashabiki wa Simba, kwani kipa namba moja wa kikosi hicho, Moussa Camara amezua hofu baada ya kuonekana hajapona...