KUHUSU KOCHA MPYA YANGA….NABI ATIA NENO…ATOA TAHADHARI MAPEMAAA…..
UONGOZI wa Yanga umeanza upya mchakato wa kutafuta kocha wa timu hiyo baada ya kufunga uwezekano wa kumchukua kocha Romuald Rakotondrabe βRoroβ aliyekuwa anakaribia...
SIMBA YA PANTEV SIO POA AISEE π π …..NSINGIZINI YAPIGWA ‘USINGIZI’ WAKIWA USINGIZINI…..
SIMBA imetanguliza mguu mmoja kwenye hatua ya makundi baada ya kupata ushindi wa kishindo wa mabao 3-0 ugenini Eswatini dhidi ya Nsingizini Hotspurs katika...
ANACHOFANYA IBENGE NDANI YA AZAM FC NI BALAAH….BADO KIDOGOOO HUKO CAF ….
MATAJIRI wa Jiji la Dar es Salaam, Azam FC, imeanza vyema tiketi ya kuisaka hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya...
WAKATI ENG HERSI AKITUA FIFA…..HUYU HAPA BOSI SIMBA ALIYEPATA SHAVU MAREKANI….
ALIYEKUWA Skauti Mkuu wa Simba, Mels Daalder, ameteuliwa katika Shirika la R6 International Sports Agency na kwa sasa atajikita katika utambuzi na usajili wa...
RASMI….ZIMBWE Jr AVUNJA UKIMYA ISHU YA KUTOKUWA NA FURAHA YANGA….ATAJA KILA KITU…
BEKI wa kushoto wa Yanga, Mohamed Hussein Zimbwe Jr ametuma salamu mpya kwa wale wote wanaosema hana furaha tangu ajiunge na kikosi hicho.
Zimbwe aliyetua...
WAKATI WA USHINDI UMEWADIA MERIDIANBET, CHEZA TRICK OR TREAT BONANZA…
Halloween imekuja na maajabu, msisimko, na vishawishi vya ajabu. Meridianbet inakukaribisha kwenye Trick or Treat Bonanza, kasino mpya ya muonekano wa kipekee inayochanganya ubunifu...
MERIDIANBET YAMLETA TVBET NDANI YA KASINO MTANDAONI…………..
Meridianbet imeweka alama mpya katika ulimwengu wa kasino mtandaoni. Kupitia ujio wa TVBET, mtoa huduma mpya wa michezo ya moja kwa moja, sasa wachezaji...
BASHIRI NA MERIDIANBET MICHEZO YA EPL LEO UFURAHIE USHINDI…..
Leo ni siku ya shauku na fursa kubwa kwa mashabiki wa soka. Viwanja vinashuhudia mapambano mazito, na Meridianbet inakuletea odds za kipekee na machaguo...
KUHUSU ‘GAME’ ZA CAF….FOLZ, PANTEV WAPEWA TAMU NA CHUNGU ZA SIMBA, YANGA….
KOCHA wa Chippa United, Luc Eymael amesema itakuwa ni aibu kwa Romain Folz na Dimitar Pantev kama Yanga na Simba zitashindwa kutinga hatua ya...
MIEZI KADHAA TOKA ATUE YANGA…BABA WA ‘TSHABALAL’ AFUNGUKA MAPYA…AITAJA SIMBA….
MWANZO wa taratibu aliokuwa nao beki wa kushoto wa Yanga, Mohamed Hussein βTshabalalaβ umemwibua baba yake mzazi, Hussein Mohamed Sr anayeona ameanza vizuri na...









