LATEST ARTICLES

KLABU ya Simba imeanza rasmi maandalizi ya msimu mpya wa 2025/26 kwa kuondoka nchini jana Jumatano kwenda Ismailia, Misri kwa kambi ya wiki nne ikiwa ni sawa na siku 28 ili kunoa makali ya nyota wa kikosi hicho wakiwamo...
SIMBA wameonyesha ukubwa wao kwa mara nyingine. Kuna jambo ambalo wamefanya kwenye kambi ya timu ya Taifa ya Kenya Harambee Stars ambalo limemtibua Kocha Benni McCarthy. Ni jinsi walivyoufanya kibabe usajili wa mshambuliaji wao mpya, Mohammed Bajaber na kuumaliza kwa...
Yanga juzi ilimtambulisha kocha mpya, Romain Folz kuchukua nafasi ya Miloud Hamdi aliyeondoka katika timu hiyo mara baada ya msimu kumalizika. Hamdi mmoja wa makocha bora aliyepita Yanga, aliondoka akiwa na heshima baada ya kutwaa makombe matatu katika muda mfupi. Ujio...
MABOSI wa Simba wapo siriazi na ishu za usajili, sema wenyewe mambo yao wanafanya kimyakimya, wakitaka kuja kuwasapraizi mashabiki wa klabu hiyo mara watakapokuwa wakiwatambulisha kwa ajili ya kuanza maandalizi ya msimu mpya wa mashindano kuanzia wiki ijayo. Inadaiwa kuwa...
KABLA ya kuanza msimu uliopita, Simba chini ya Kocha Fadlu Davids iliwaeleza bayana mashabiki na wapenzi wa klabu wasitarajie maajabu kwa timu hiyo kwa vile wanajenga kikosi. Kauli hiyo ilitolewa na mabosi wa klabu hiyo akiwamo Ofisa Habari, Ahmed Ally...
Rais wa Yanga, Hersi Said pamoja na mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu ni kati ya watia nia ambao wamewekwa kando kugombea nafasi ya ubunge. Mangungu alikuwa ameomba kugombea kupitia Jimbo la Kilwa, huku Hersi akiomba kupitia jimbo la Kigamboni jijini...
UPEPO umebadilika. Ndicho unachoweza kusema kutokana na sakata la usajili wa kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’. Awali, Yanga ilikuwa ikitajwa na kuonekana kuwa karibu kumrejesha nyota huyo aliyemaliza Ligi Kuu msimu wa 2024-2025 kinara wa asisti...
Simba imesaini mkataba wa miaka mitatu wenye thamani ya Sh20 bilioni na Kampuni ya ubashiri wa matokeo ya michezo ya Betway kama mdhamini mkuu wa klabu hiyo. Mkataba wa udhamini huo unasainiwa leo Jumanne, Julai 29, 2025 jijini Dar es...
KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amekubali kujiunga na timu ya Simba kwa mkataba wa miaka miwili, baada ya kukataa kusaini mkataba mpya na klabu yake ya sasa, kwa mujibu wa chanzo chetu. Chanzo hicho kimesema kwamba,...
MABOSI wa Simba wapo siriazi na ishu za usajili, sema wenyewe mambo yao wanafanya kimyakimya, wakitaka kuja kuwasapraizi mashabiki wa klabu hiyo mara watakapokuwa wakiwatambulisha kwa ajili ya kuanza maandalizi ya msimu mpya wa mashindano kuanzia wiki ijayo. Inadaiwa kuwa...