Meridianbet wamekuja na fursa ya kipekee kwa wapenzi wa michezo ya mtandaoni ambayo ni promosheni ya Jisajili, Weka Pesa, Cheza na Ushinde" ambapo hapa mchezaji anatakiwa abashiri mechi zozote na michezo ya Kasino.
Promosheni hii imeanza Juni 01 na kikomo...
Kila mtu na bahati yake Meridianbet hakuna masuala ya nyota yako imefifia au oga maji ya bahari kuondoa nuksi, iko hivi kucheza na kushinda kasino ya mtandaoni ni rahisi, kuwa moja ya mabingwa na Wafalme wa Meridianbet kila unapocheza...
KOCHA wa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini, Nasredine Nabi ameondoka nchini na kumtimkia Ulaya kwa mapumziko, lakini hapa Tanzania alimuacha skauti wao mmoja maalum kwa ajili ya kuwaangalia viungo wawili wa Simba.
Nabi alipokuwa nchini kwa mambo yake binafsi alishuhudia...
YANGA inaendelea kupasua kichwa juu ya kocha gani imchukue kwa ajili ya kulijenga upya benchi la ufundi la msimu ujao, na sasa ni kwamba kuna uwezekano mkubwa ikapoteza chaguo jingine la tatu kwenye mawindo hayo.
Hesabu za Yanga zilikuwa kwa...
KATIKA kile kinachoonekana kuwa mwanzo wa ukurasa mpya kwa klabu ya Yanga, uongozi wa timu hiyo umeweka wazi mikakati kabambe ya kuhakikisha msimu ujao wanakuwa na kikosi imara zaidi kwa ajili ya mashindano yote yaliyo mbele yao.
Mjumbe wa Yanga,...
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids, amefunguka hali ya kikosi chake, akisema kwa sasa akili yake yote inaelekezwa kwenye pambano la Kariakoo Derby dhidi ya Yanga SC, mechi inayoweza kuwa na taswira ya bingwa wa Ligi Kuu Tanzania...
Promosheni ya kibabe ya Superheli imekuja ndani ya Meridianbet mwezi huu Juni ambapo nafasi ya wewe kushinda ikiwa kubwa zaidi. Cheza Superheli sasa umiliki simu janja mpya kabisa aina ya Samsung A25.
Meridianbet katika kuhakikisha kuwa hawakuachi hivi hivi kipindi...
Msimu wa 2024/25 umekua wa kitofauti baada ya kushuhudia majina makubwa yakianguka huku majina yasiyotarajiwa yakipanda jukwaa kwa ajili ya kuvalishwa medali. Hili ndilo soka, mchezo usiobebwa na miujiza bali maandalizi pamoja na mifumo thabiti. Meridianbet imekua sehemu ya...
WINGA Joshua Mutale amekuwa mtamu kama mcharo. Kwa wanaokumbuka wakati anatua Msimbazi kutoka Power Dynamos ya Zambia, jina lake lilibeba matumaini.
Mutale maarufu kama Budo, aliingia kikosi cha Simba kama mmoja wa wachezaji waliotarajiwa kuleta mapinduzi msimu huu, lakini kama...
Unakumbuka neno kipengele lilivyogonga vichwa vya habari wakati wa sakata la kuahirishwa kwa mechi ya watani wa jadi?
Basi neno hilo limerejea tena kwa kishindo likiwahusisha haohao Simba na Yanga, lakini safari hii ni kupitia mkataba wa Feisal Salum maarufu...