IMEELEZWA kuwa baada ya mabosi wa Simba kushindwana na Florent Ibenge ambaye ni Kocha Mkuu wa AS Vita pamoja na timu ya Taifa ya Congo kwenye upande wa maslahi sasa wameelekeza nguvu kwa Didier Gomes Da Rosa.Ibenge alikuwa anatajwa...
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa utarejea kwa kishindo kwenye mzunguko wa pili ili kufikia malengo ambayo wamejiwekea.Mzunguko wa kwanza Azam FC ilianza kwa kasi ambapo ilicheza jumla ya mechi 7 bila kupoteza na Aristica Cioaba aliweza kuwa kocha...
UONGOZI wa Simba umesema kuwa wale waliokuwa wanafikiria nyota wao Bernard Morrison anaumwa na atakaa nje ya uwanja kwa muda wa miezi sita wasahau jambo hilo kwa kuwa raia huyo wa Ghana yupo fiti.Baada ya fainali ya Kombe la...
FARID Mussa kiungo wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, usiku wa kuamkia leo aliwamaliza Namibia kwa kuwatungua bao moja na kusepa na tuzo ya mchezaji bora wa mchezo.Stars imeshinda mchezo wake wa kwanza kwenye mashindano yanayohusisha wachezaji...
MWINYI Zahera aliyekuwa kocha ndani ya Klabu ya Yanga kabla ya kuchimbishwa msimu wa 2019/20 amesema kuwa Simba hawana mkwanja wa kumchukua Florent Ibenge awe mbeba mikoba ya Sven Vandenbroeck.Imekuwa ikielezwa kuwa Ibenge amepewa dili na mabosi wa Simba...
FISTON Abdoul Razak nyota mpya wa Klabu ya Yanga amesema kuwa Yanga hawatakuwa na haki ya kumzuia kuondoka ikiwa atafanya vizuri ndani ya kikosi hicho baada ya kusaini dili la miezi sita.Nyota huyo raia wa Burundi amesaini dili la...
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili jipatie nakala yako ni jero tu.
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amesema kuwa anaamini mzunguko wa pili utakuwa na ushindani mkubwa jambo ambalo linamfanya afikirie mbinu mpya za kupata matokeo chanya.Mtibwa msimu wa 2020/21 haujawa mzuri kwake licha ya kubadilisha kocha kwa kuwa...
KAMATI ya Nidhamu ya Klabu ya Simba chini ya mwenyekiti wake Suleiman Kova imetangaza hukumu ya kiungo wa klabu hiyo, Jonas Mkude ambaye alisimamishwa na uongozi kwa makosa ya utovu wa nidhamu.Kwa mujibu wa Kova kamati hiyo imempa masaa...
MARA baada ya mabosi wa Klabu ya Simba kumshusha kocha mpya kwa ajili ya kuwanoa makipa wanaoongozwa na kipa namba moja Aishi Manula, Beno Kakolanya na Salim Ally, kocha huyo ameanza rasmi mazoezi Januari 23.Anaitwa Milton Nienov raia wa...