KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kitakachoanza kwenye mchezo wa leo dhidi ya Namibia utakaopigwa kwenye uwanja wa Limbe/Buea, Cameroon majira ya saa 4:00 kwa saa za Afrika Mashariki.Kila la kheri Taifa Stars
Kamati ya Nidhamu ya Klabu ya Simba chini ya Mwenyeki wake Suleiman Kova imetangaza hukumu ya kiungo wa klabu hiyo, Jonas Mkude ambaye alisimamishwa na uongozi kwa makosa ya utovu wa nidhamu.Kwa mujibu wa Kova, haya ndiyo makosa aliyokuwa...
BEKI wa zamani wa klabu ya Simba, Boniface Pawasa amesema kuwa ujio wa Fiston Abdoul Razak ndani ya kikosi cha Yanga utaiongezea timu hiyo makali kutokana na uwepo wa nyota, Saidi Ntibazonkiza 'Saido' ambao wataunda safu kali ya ushambuliaji.Saido...
BAADA ya tetesi kuenea kuwa simba imemalizana na kocha mkuu wa DR Congo na AS Vita, Florent Ibenge kuwa kocha wao mkuu, hatimaye kocha huyo ameweka hadharani kuwa hajasaini kuifundisha timu hiyo bali alikutana na Simba kwa ajili ya...
UNAAMBIWA uongozi wa klabu ya Simba ulitumia umafia mkubwa kumalizana na kumsainisha kiungo mkabaji wao mpya raia wa DR Congo, Doxa Gikanji kwa kutumia mchezo wa kirafiki kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars dhidi ya DR...
IMEBAINIKA kuwa sababu iliyomuondoa aliyekuwa kocha msaidizi wa kikosi cha klabu ya Yanga, Juma Mwambusi ni matatizo ya jino.Mwambusi alitangaza uamuzi huo Januari 21, mwaka huu ambapo aliwasilisha barua kwa uongozi akiomba kupumzika na kutumia muda huo kwa ajili...
JUNIOR Lukosa raia wa Nigeria leo Januari 23 amewasili Bongo kumalizana na Simba kwa ajili ya kutumika ndani ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo utambulisho wake unatarajiwa kufanyika kwenye mashindano ya Simba Super Cup.Nyota huyo ana umri wa miaka...
UKISEMA wamepania basi wala utakuwa hujakosea hii ni kutokana na kile ambacho kinafanywa na kikosi cha Yanga Princess ambao wamemaliza mzunguko wa kwanza kileleni mwa msimamo na pointi zao 31 huku wakiwa hawajapoteza mchezo wowote.Yanga inayonolewa na kocha, Edna...
MSHAMBULIAJI mpya wa klabu ya Simba raia wa Nigeria, Junior Lokosa amewasiri rasmi nchini Tanzania leo kwa ajili ya kukamilisha taratibu zake za kujiunga na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara klabu ya Simba.Kivutio kikubwa kwenye ujio wa...
KLABU ya Namungo FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Hemed Morroco imeingia kambi kwa ajili ya maandalizi ya mechi za Ligi Kuu Bara pamoja na Kombe la Shirikisho huku ikijivunia uwepo wa kiungo wao Eric Kwizera.Nyota huyo ni usajili mpya...