KAMATI ya Mashindano ya Kombe la Mapinduzi imetangaza kuwa mapato ya mchezo wa fainali kati ya Yanga na Simba ni milioni 79 na laki mbili na elfu arobaini na tano.Fainali hiyo ya Mapinduzi ilichezwa Visiwani Zanzibar, Januari 13,2021 na...
 KOCHA mkuu wa klabu ya Biashara United, Francis Baraza amefunguka kuwa kama kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars inataka kusonga mbele katika michuano ya kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (CHAN),...
UONGOZI wa Klabu ya Simba umefungukia ishu ya kutokuonekana kwa jina la kiungo wao mkabaji raia wa Uganda, Taddeo Lwanga kwenye orodha iliyopelekwa kwa Shirikisho la soka Tanzania (TFF), kwa kusema kuwa mchezaji huyo bado ni mali halali ya...
  UNAAMBIWA usiulize kuhusu mshahara wa mshambuliaji mpya wa Yanga raia wa Burundi, Fiston Abdoul Razak, kwani walichokifanya Yanga kwa mshambuliaji huyo ni kufuru.Taarifa za ndani ya Yanga zinaeleza kuwa straika huyo amepewa mkataba utakaomfanya alipwe kiasi cha dola...
KUHUSU ubingwa wa Kombe la Mapinduzi tayari kwa sasa wale ambao waliotwaa wameanza kusahau yale machungu ambayo walikuwa wanapitia katika kuusaka.Ipo wazi kwamba Yanga ni mabingwa wapya ambao waliweza kutwaa taji hilo baada ya kushinda mbele ya watani zao...
MSHAMBULIAJI wa klabu ya Yanga, Waziri Junior amesema kuwa anaamini kuwa upo uwezekano wa kikosi chao kuibuka na ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu bila kupoteza mchezo hata mmoja. Waziri aliyejiunga na Yanga msimu huu akitokea kwenye kikosi cha...
 UONGOZI wa Simba umesema kuwa nyota wao mpya Bernard Morrison hasumbuliwi na tatizo lolote bado yupo imara licha ya habari kueleza kuwa anaumwa.Hivi karibuni ilielezwa kuwa Morrison ambaye ni ingizo jipya ndani ya Simba akitokea Klabu ya Yanga anaumwa...
METACHA Mnata, kipa namba moja ndani ya Klabu ya Yanga amesema kuwa kilicho nyuma ya mafanikio yake ndani ya kikosi hicho ikiwa ni pamoja na kutokufungwa kwenye dakika 990 ni ushirikiano wa wachezaji wenzake pamoja na maombi.Mechi 17 ambazo...
 WAKATI wa Watanzania kuendelea kuipa sapoti timu ya Taifa ya Tanzania ambayo inawakilisha nchi kwenye mashindano yanayoshirikisha wachezaji wa ndani, Chan ni sasa.Matokeo ambayo yametokea januari 19 kwa Stars kupoteza kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Zambia yatabaki kuwa...
 UONGOZI wa Klabu ya Simba umesema kuwa kabla ya mashindani ambayo wameyatambulisha ya SIMBA INTER CUP ambayo yatashirikisha timu tatu hayajaanza watakuwa wameshamtambulisha kocha mpya.Sven Vandenbroeck ambaye alikuwa Kocha Mkuu wa Simba alibwaga manyanga Januari 7 muda mfupi baada ya...