MAISHA yanakwenda kasi sana na kila siku kuna mambo mapya ambayo yanatokea. Jambo la msingi ni kukubali kwamba hakuna namna ya kuzuia yanayotokea zaidi ni kuendelea kujituma zaidi.Ikiwa utapoteza kila kitu kwangu naona ni sawa ila usipoteze imani kwa...
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa anayepaswa kulaumiwa kwa timu yake kufungwa bao 1-0 dhidi ya Burney ni yeye mwenyewe kwakuwa anapaswa kuwajibika kwa hilo.Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu England kwa sasa wanapitia kipindi kigumu ndani ya...
 STEVE Keane mwenye miaka 53 aliletwa duniani Septemba 30 1967 sehemu ambayo alizaliwa ni Glasgow,Scotland.Inaelezwa kuwa ni miongoni mwa waliotuma CV zao kati ya wale makocha 50 ambao waliomba kazi ya kukinoa kikosi hicho kinachoshiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya.Anapewa chapuo...
LICHA ya kukubali kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya Zambia kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Januari 19 nchini Cameroon ukiwa ni wa kufuzu Chan bado Kocha Mkuu, Etienne Ndayiragije anaamini kwamba nafasi bado ipo kwa Stars.Ikiwa ipo kundi D,...
CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa ujio wa nyota mpya ndani ya kikosi hicho, Fiston Abdoul Razack utamuongezea nguvu katika kusaka taji la Ligi Kuu Bara.Kaze amesema kuwa anatambua uwezo wa nyota huyo hivyo hana mashaka na...
 MAJINA mawili ya makocha wakubwa yamekuwa yakipewa nafasi ya kuibuka ndani ya kikosi cha Simba kuchukua mikoba ya Sven Vandebroeck ambaye alibwaga manyanga Januari 7.Vandebroeck raia wa Ubelgiji kwa sasa yupo zake nchini Morocco akiwa na timu mpya huku...
 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa 
 MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma gazeti la Championi Ijumaa 
 HUU hapa msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania ambapo bingwa mtetezi ni Simba Queens huku Yanga Princess ikiwa namba moja na haijapoteza mchezo bado
 KIUNGO mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Balama Mapinduzi amerea nchini leo akitokea nchini Afrika Kusini alipokwenda kwa ajili ya matibabu.Akiwa Afrika Kusini, Balama alifanyiwa upasuaji wa enka na kutokana na upasuaji huo anatarajiwa kuwa nje kwa kipindi cha wiki...