KIKOSI cha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, klabu ya Simba kinatarajiwa kurejea rasmi kambini Januari 25, ambayo ni siku ya Jumatatu ya wiki Ijayo.Tangu kumalizika kwa michuano ya kombe la Mapinduzi, kikosi cha Simba iliyopoteza fainali ya michuano...
GLOBAL TV imefanya mahojiano na Mchambuzi wa masuala ya soka, Ally Mayai, kuhusiana na mechi ya Taifa Stars ya kwanza kwenye michuano ya CHAN dhidi ya Zambia, ambayo ilimalizika kwa Stars kufungwa mabao ( 2 - 0 ).... ⚫️...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kwamba mbilinge za VPL mzunguko wa 19, zitarejea dimbani Februari 13, 2021, huku mechi za viporo zikianza kuchezwa Februari 4, 2021.
JUMA Mwambusi, ameomba kukaa kando kwa sasa ndani ya kikosi cha Yanga kwenye majukumu ya kuwa kocha msaidizi.Hatua hiyo imefikia baada ya yeye mwenyewe kuandika barua baada ya kikosi hicho kutwaa taji la Mapinduzi ambapo iliifunga Simba kwa penalti...
MSHAMBULIAJI wa timu ya Taifa ya Tanzania, Ditram Nchimbi amesema kuwa jitihada zinahitajika kwa ajili ya timu ya Taifa ya Tanzania hivyo watapambana bila kuchoka kwa ajili ya Tanzania. Kwa sasa Stars ipo nchini Cameroon kwa ajili ya kushiriki michuano...
PRINCE Dube, mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Azam FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina ameanza makeke yake baada ya kufunga bao wakati timu yake ikishinda mabao 2-1 dhidi ya Zanzibar Combine. Azam FC imeweka kambi Visiwani Zanzibar...
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi
UONGOZI wa Yanga umewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia kuwa mkataba wa mshambuliaji wao mpya, Fiston Abdoul Razak una kipengele cha kuongeza mwingine baada ya huo alionao kumalizika.Hii inatokana na ukweli kwamba kwa mujibu wa kanuni za...
KLABU ya soka ya Yanga imezindua rasmi kalenda yake ya mwaka 2021.Taarifa rasmi ya Yanga imeeleza: "Kalenda ya timu ya wananchi tayari imeshatoka na inapatikana kwa bei ya shillingi 5,000 Makao makuu yetu mtaa wa Twiga/Jangwani na Maduka yote...
KOCHA mkuu wa klabu ya Yanga, Cedric Kaze amenogesha shangwe la ubingwa kwa mastaa wa kikosi hicho baada ya kuwapa mapumziko kamili bila programu yoyote ya mazoezi ili mastaa hao wapate muda wa kukaa na familia zao kabla ya...