Taifa Stars
“KOCHA WA TAIFA STARS ALIKOSEA KIPINDI CHA PILI” – UCHAMBUZI WA ALLY MAYAI – VIDEO
GLOBAL TV imefanya mahojiano na Mchambuzi wa masuala ya soka, Ally Mayai, kuhusiana na mechi ya Taifa Stars ya kwanza kwenye michuano ya CHAN dhidi ya Zambia, ambayo ilimalizika kwa Stars kufungwa mabao ( 2 – 0 )…. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.