KOCHA mkuu wa timu ya taifa ya Zambia, Sredojevic Milutin Micho amekiri kwamba anatarajia kukutana na mchezo mgumu dhidi ya Taifa Stars leo.Zambia leo itacheza dhidi ya Taifa Stars kwenye mchezo wao wa kwanza wa kundi D la michuano...
UKURASA wa mwisho wa kitabu cha usajili Bongo ulifunikwa Ijumaa iliyopita saa 5:59 ambao ndiyo ulikuwa muda wa mwisho kwa timu zote kusajili.Ndani ya wakati huo kuna nyota ambao wameondoka na kwenda kuanzisha maisha sehemu nyingine. Huko walipoenda kuna...
KOCHA mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Etienne Ndayiragiuje amethibitisha kuwa ataikosa huduma ya mshambuliaji wake John Bocco kutokana na mchezaji huyo kuwa majeruhi. Majira ya saa 1:00 usiku kwa leo kwa saa za Afrika Mashariki katika mji wa...
BAADA ya kurejea uwanjani na kufanikiwa kuhusika katika mabao mawili kwenye ushindi wa mabao 2-0 iliyoupata Azam dhidi ya Mlandege mshambuliaji wa Azam, Prince Dube ametamba kuwa ataendelea kufunga kama ambavyo aliuanza msimu huu.Dube alikuwa nje ya Uwanja tangu...
MENEJA wa mshambuliaji Reliants Lusajo, Ahmad Kassim ‘Prezdaa’ amesema kuwa sababu kubwa za mteja wake kuipiga chini KMC baada ya kukipiga kwa miezi sita tu na kurejea tena Namungo ni nyota huyo kukosa furaha akiwa na kikosi hicho cha...
KIUNGO mshambuliaji hatari wa klabu ya Yanga, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ ameweka bayana kwamba ndoto zake ni kuhakikisha anajenga historia katika kikosi hicho kwa kufanya vizuri kwa muda ambao atakuwepo.Nyota huyo ameongeza kuwa atakachofanya ni kuipambania timu hiyo kwenye kila...
KIUNGO mshambuliaji mpya wa Klabu ya Simba, Perfect Tatenda Chikwende amefunguka kuwa sababu kubwa iliyomfanya atue ndani ya kikosi cha Klabu ya Simba ni kuvutiwa na uwezo mkubwa wa baadhi ya nyota wa kikosi hicho akiwemo Clatous Chama na...
MATUMAINI ya mtambo wa mabao ndani ya Yanga, Carlos Carlinhos raia wa Angola kurejea ndani ya uwanja kwa sasa ni hafifu kwa kuwa bado yupo kwenye matibabu.Nyota huyo alitonesha maumivu yake ya nyonga ambayo aliyapata kwenye mchezo wa Ligi...
MWANAMUZIKI Diamond Platinumz, leo Januari 19, ameitisha mkutano na wanahabari katika ofisi zake zilizopo Mbezi jijini Dar.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
ETTIENNE Ndayiragije, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo dhidi ya Zambia.Leo safari ya Stars kufuzu robo fainali ya Kombe la Mataifa Afrika kwa wachezaji wa...