UONGOZI wa Klabu ya Majimaji umesema kuwa malengo yao makubwa kwa msimu huu wa 2020/21 ni kuweza kurejea ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2021/22.Timu hiyo ilitolewa na Simba kwenye Kombe la Shirikisho kwa kufungwa mabao 5-0, Uwanja...
 BARBARA Gonzalez, Mtendaji Mkuu wa Simba amesema kuwa anashangazwa na makocha wazawa kushindwa kutuma CV zao kuomba kazi kubeba mikoba ya Sven Vandenbroeck.Vandenbroeck ambaye alikuwa ni Kocha Mkuu ndani ya kikosi cha Simba alibwaga manyanga Januari 7 ikiwa ni...
 UONGOZI wa Yanga umesema kuwa baada ya kumaliza kazi ya kutwaa taji la Kombe la Mapinduzi nguvu inahamia ndani ya Ligi Kuu Bara.Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Cedrick Kaze inafikisha jumla ya mataji mawili ya Kombe la Mapinduzi kabatini...
 UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa ndani ya mzunguko wa pili watapambana kufanya vizuri ili kurejea kwenye ubora ndani ya uwanja.Kikosi hicho kilicho chini ya Kocha Mkuu, Hitimana Thiery ambaye amechukua mikoba ya Zuber Katwila ambaye yupo zake ndani...
 KIUNGO wa Klabu ya Simba, Bernard Morison amesema kuwa maisha ya mpira sio vita bali ni kazi ndani ya uwanja hivyo kila kitu kwakwe anajifunza.Nyota huyo aliibuka ndani ya kikosi cha Simba akitokea Yanga ambapo uhamisho wake umekuwa na...
 BAADA ya muda mrefu wa kusubiri, hatimae timu ya wananchi Yanga wamefungua tena kabati lao la makombe. Mara ya mwisho Yanga wametwaa kombe ni lini? Miaka sasa imepita.  Kabla hata hawajamsajili Papy Tshishimbi. Sasa hivi ameondoka na yupo zake kwao....
KOCHA Mkuu wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema kuwa wamekuwa kwenye mwendo mbaya ndani ya Ligi Kuu England hivyo wana kazi ya kufanya mbele ya Manchester United.Liverpool inakutana na Manchester United ambayo gari limewaka baada ya kushinda mechi zake tatu...
 BEKI wa kati wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ amefunguka kuwa, ni kazi rahisi kuwadhibiti washambuliaji wa Simba, Meddie Kagere na Chris Mugalu kama tu utafuata kanuni za ulinzi na kutocheza na presha. Ninja alifanikiwa kuwazuia Kagere na Mugalu kwenye...

BARTHEZ ATOA KAULI YA KIBABE

0
BAADA ya kukamilisha usajili wake wa kujiunga na klabu ya Mbeya City mlinda mlango wa zamani wa klabu ya Yanga na Simba, Ally Mustafa Mtinge 'Barthez’ amefunguka kuwa atajitoa kwa kila hali kuhakikisha anainusuru klabu hiyo iliyo katika hatari...
 KIKOSI cha Azam FC kimefunga usajili wa dirisha dogo kwa kuinyaka saini ya kiungo mshambuliaji, Yahya Zayd, kwa mkopo wa miezi sita akitokea Pharco ya Misri.Zayd ni mmoja wa wachezaji waliokulia kwenye kituo cha Azam Academy kabla ya kumpandisha timu...