SELEMAN Matola, Kaimu Kocha Mkuu wa kikosi cha Simba ambacho leo kitacheza fainali ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya Yanga, Uwanja wa Amaan amesema kuwa wachezaji ambao walikosa mechi za awali leo hatawatumia kwenye kikosi cha kwanza.Mongoni mwa wachezaji...
 CEDRICK Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wachezaji wake wote wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo wa fainali dhidi ya Simba huku akisubiri ripoti ya madaktari kuhusu kumtumia nyota wake Yacouba Songne.Songne aliumia kwenye mchezo wa...
 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano 
 HAWA hapa wachezaji wa kikosi cha Yanga wanaotarajiwa kukosekana kwenye mchezo wa Kombe la Mapinduzi ambao ni fainali dhidi ya Simba.Yanga ilitinga hatua ya fainali baada ya ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya Azam FC kwenye mchezo ambao dakika...
 LEO Uwanja wa Amaan, visiwani Zanzibar kutakuwa na mchezo wa Dar Dabi kati ya Yanga dhidi ya Simba ambao ni wa Kombe la Mapinduzi.Yanga inakutana na Simba mara ya pili kwenye fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya ile...
 AYOUB Lyanga nyota wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amefunga bao liliweka usawa kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya DR Congo, uliochezwa Uwanja wa Mkapa.Lyanga alifunga bao hilo dakika ya 57 kipindi cha pili baada ya DR...
 KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars kitakachoanza leo Januari 12 mchezo wa kirafiki dhidi ya DR Congo, Uwanja wa Mkapa.Kitakachoanza :Juma KasejaShomari KapombeYassin MustaphaIbrahim AmeAgrey MorrisSaid HamisAyubu LyangaFeisal SalumAdam AdamLucas KikotiDeus KasekeAkibaAishi ManulaIsrael MwendaEdward ManyamaKalos ProtasAburazak HamzaSamwel...
BEKI wa kati mkongwe Agrey Morris ambaye anakipiga ndani ya Klabu ya Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina amesema kuwa hata akiweka daruga kabatini wapo watakaovaa.Morris leo anastaafu kucheza ndani ya kikosi cha timu ya Tanzania, Taifa...
 KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedrick Kaze amesema kuwa wanahitaji kulitwaa Kombe la Mapinduzi ili kuongeza hali ya kujiamini kwa wachezaji wake.Yanga imetinga hatua ya fainali kwa ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya Azam FC baada ya dakika 90 kwenye...
 MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Klabu ya Simba amesema kuwa watawafurahisha mashabiki wao kesho kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Yanga utakaochezwa Uwanja wa Amaan, visiwani Zanzibar.Yanga inakutana na Simba baada ya ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya Azam FC...