KOCHA Sven anatajwa kuibukia ndani ya Klabu ya F.A.R Rabat ya Morocco baada ya kubwaga manyanga ndani ya Klabu ya Simba ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara.Kocha huyo amesaini dili la miaka miwili kuifundisha timu hiyo baada ya...
WACHEZAJI wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo Januari 9 wamefanyiwa vipimo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete,(JKCI).Hii ni sehemu ya maandalizi kuelekea kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya DR Congo pamoja na maandalizi...
UPO uwezekano mkubwa wa mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga raia Mghana Michael Sarpong kuondoka kati ya mwanzoni au mwisho mwa msimu huu baada ya kupata dili la kucheza nje ya nchi. Mghana huyo hivi sasa ameonekana kutokuwa na mchango mkubwa...
KIRAKA Pascal Kitenge ambaye ni beki ndani ya uwanja amesaini dili la mwaka mmoja na nusu ndani ya Klabu ya Coastal Union ya Tanga.Juma Mgunda ambaye ni Kocha Mkuu wa timu hiyo ameweka wazi kwamba malengo ya timu hiyo...
IMEELEZWA kuwa Uongozi wa Simba upo kwenye hesabu za kuinasa saini ya kipa namba moja wa Biashara United, Daniel Mgore ili kumpa changamoto mpya kipa wao namba moja Aishi Manula.Mgore anatajwa kuingia pia kwenye anga za Azam FC ambapo...
UONGOZI wa Klabu ya Gwambia FC yenye maskani yao Mwanza umewaita mezani mabosi wa Yanga ili iwape mshambuliaji wao namba moja, Meshack Abraham mwenye mabao sita ndani ya Ligi Kuu Bara.Abraham anawakimbiza watupiaji wote ndani ya Yanga ikiwa chini...
AMEZALIWA Septemba 13,1973 ana umri wa miaka 47 ambapo nafasi aliyocheza mwenyewe zama za mpira alikuwa beki.Anaitwa Rene Weiler raia wa Uswisi aliweka daruga kabatini 2001 alipokuwa anatumikia Klabu ya FC Winterthur.Anatajwa kuingia rada za Simba kuja kuchukua mikoba...
MSHAMBULIAJI Gerald Mathias Mdamu, ambaye alikuwa ameingia kwenye rada za Klabu ya Yanga amesema kuwa ameamua kuibukia ndani ya Polisi Tanzania ili kupata changamoto mpya.Nyota huyo mwenye pasi mbili za mabao ndani ya Biashara United awali ilitajwa kuwa yupo...
MIRAJ Athuman, kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Simba amesema kuwa anaamini kwamba leo wataibuka na ushindi mbele ya Mtibwa Sugar. Simba itakutana na Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa Kombe la Mapinduzi unaotarajiwa kuchezwa majira ya saa 8:15, Uwanja wa Amaan.Msimu...
UONGOZI wa DStv Tanzania Januari 8, 2021, umeikabidhi timu ya Global FC jezi za nyumbani na ugenini kwa ajili ya michezo ya kirafiki na mashindano mengine ambayo itashiriki kwa msimu wa 2021. Makabidhiano hayo yamefanyikafika katika ofisi za Global Group...