CHRIS Mugalu, mshambuliaji ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Sven Vandenbroeck, amempoteza nyota wa Yanga, Michael Sarpong kwenye suala la kutupuia mabao ndani ya muda mfupi.Mugalu akiwa amejiunga na Simba msimu huu, ametumia muda mchache uwanjani kufunga mabao...
BAADA ya kikosi cha Simba kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya FC Platinum kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika na kutinga hatua ya Makundi Afrika, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara awashukuru mashabiki.Kupitia Ukurasa wake rasmi...
 KIKOSI cha Azam FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina akiwa na msaidizi wake Vivier Bahati kitafungua pazia la michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa kukipiga dhidi ya Mlandege, leo Alhamisi, Januari 7 kwenye Uwanja wa Amaan saa 2.15 usiku.Mabingwa...
 LAMINE Moro, beki wa kati wa Klabu ya Yanga ambaye alipigwa chini alipofanya majaribio ndani ya kikosi cha Simba zama za Patrick Aussems kwa anachokifanya kwa sasa ni kama anawaumbua mabosi wa timu hiyo ambao walimkataa. Habari zinaeleza kuwa Aussems...
 THOMAS Ulimwengu Mtanzania anayekipiga ndani ya Klabu ya TP Mazembe amewashukuru mashabiki wa Tanzania kwa sapoti zao pamoja na pongezi ambazo wamemtumia baada ya kutimiza majukumu vema akiwa na timu hiyo.Jana, Januari 6 wakati TP Mazembe ya Congo ikishinda...
 KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck raia wa Ubelgiji leo kinatarajiwa  kuelekea Visiwani Zanzibar kwa ajili ya michuano ya Kombe la Mapinduzi na inaelezwa kuwa kitaongozana na majembe mawili mapya ambayo yapo kwenye hesabu za kusajiliwa. Michuano...
 "WACHEZAJI wamecheza vizuri, wamelinda vizuri ila walishindwa kutumia nafasi ambazo wamezitengeneza,".Hii ni kauli ya Ole Gunnar Solskjaer ,Kocha Mkuu wa Manchester United baada ya kupoteza hatua ya nusu fainali ya Kombe la Carabao mbele ya Manchester City kwa kufungwa...
 IMEELEZWA kuwa mabosi wa Yanga wapo kwenye kukamilisha dili la usajili wa mshambuliaji mmoja raia wa Congo Ferebory Dore, anayetajwa kama pacha wa Said Ntibanzokiza ‘Saido’, baada ya wadhamini wa Yanga, kampuni ya GSM, kukamilisha dili la usajili wake. Straika...
KOMBE la Shirikisho ambalo lipo mikononi mwa Simba iliyotwaa msimu wa 2019/20 kwa kuipoka Azam FC kwa sasa limefika hatua ya 32 bora, hii hapa orodha ya timu hizo zilizotinga hatua huyo:-Timu za ligi Kuu (VPL)1.Yanga SC (Dar)2.Mtibwa Sugar...
IMEELEZWA kuwa baadhi ya mastaa wa Yanga wamegomea hoteli maalum waliyoandaliwa na waandaaji wa michuano ya Kombe la Mapinduzi. Hiyoni baada ya kikosi cha timu hiyo kitue Unguja, Zanzibar kwa ajili ya Michuano ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya Jumhuri FC.Mchezo...