KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck raia wa Ubelgiji leo kinatarajiwa kuelekea Visiwani Zanzibar kwa ajili ya michuano ya Kombe la Mapinduzi na inaelezwa kuwa kitaongozana na majembe mawili mapya ambayo yapo kwenye hesabu za kusajiliwa. Michuano...
"WACHEZAJI wamecheza vizuri, wamelinda vizuri ila walishindwa kutumia nafasi ambazo wamezitengeneza,".Hii ni kauli ya Ole Gunnar Solskjaer ,Kocha Mkuu wa Manchester United baada ya kupoteza hatua ya nusu fainali ya Kombe la Carabao mbele ya Manchester City kwa kufungwa...
IMEELEZWA kuwa mabosi wa Yanga wapo kwenye kukamilisha dili la usajili wa mshambuliaji mmoja raia wa Congo Ferebory Dore, anayetajwa kama pacha wa Said Ntibanzokiza ‘Saido’, baada ya wadhamini wa Yanga, kampuni ya GSM, kukamilisha dili la usajili wake. Straika...
KOMBE la Shirikisho ambalo lipo mikononi mwa Simba iliyotwaa msimu wa 2019/20 kwa kuipoka Azam FC kwa sasa limefika hatua ya 32 bora, hii hapa orodha ya timu hizo zilizotinga hatua huyo:-Timu za ligi Kuu (VPL)1.Yanga SC (Dar)2.Mtibwa Sugar...
IMEELEZWA kuwa baadhi ya mastaa wa Yanga wamegomea hoteli maalum waliyoandaliwa na waandaaji wa michuano ya Kombe la Mapinduzi. Hiyoni baada ya kikosi cha timu hiyo kitue Unguja, Zanzibar kwa ajili ya Michuano ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya Jumhuri FC.Mchezo...
IMEFAHAMIKA kuwa mabosi wa Yanga wapo kwenye mazungumzo ya mwisho ya kuipata saini ya miaka miwili ya kiungo mkabaji wa Simba, Jonas Mkude kwa dau la Sh milioni 150 anazozitaka ili amwage wino Jangwani kwa siri. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu uongozi wa Simba umsimamishe kazi kiungo huyo...
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi
MAURICIO Pochettino, Kocha Mkuu wa Klabu ya Paris Sait-Germain, (PSG) anahitaji saini ya kiungo Christian Eriksen ambaye alifanya naye kazi zama zile alipokuwa ndani ya kikosi cha Tottenham. Kocha huyo ambaye alikuwa ndani ya Tottenham kabla ya kufutwa kazi...
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck leo Januari 6 kimeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya FC Platinum kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba imepata matokeo hayo ikiwa nyumbani na kufanikiwa kupindua meza kibabe...
MAKAMU wa pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman akipokea zawadi ya jezi kutoka kwa Makamu wa Yanga, Fredrick Mwakalebela,(kushoto), baada ya msafara wa Yanga kutembelea Ofisi ya Ikulu ya Vuga,mjini Unguja.