MAKAMU wa pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman akipokea zawadi ya jezi kutoka kwa Makamu wa Yanga, Fredrick Mwakalebela,(kushoto), baada ya msafara wa Yanga kutembelea Ofisi ya Ikulu ya Vuga,mjini Unguja.
 UWANJA wa MkapaKipindi cha kwanzaLigi ya Mabingwa Afrika Simba 1-0 FC PlatinumDakika ya 39 Nyoni Gooal Dakika ya 32 Wachezaji wa FC Platinum wanaonekana kugombea maamuzi ya penaltiDakika ya 31 Luis anachezewa faulo ndani ya 18 Simba wanapata penaltiDakika ya 30...

NAMUNGO WAREJEA BONGO

0
 KIKOSI cha Namungo FC kimewasili leo Januari 6,2020 salama kwenye ardhi Dar es Salaam kikitoka Sudan.Jana Januari 5 kilikuwa na mchezo wa Kombe la Shirikisho wa marudio dhidi ya Al Hilal Obeid ambapo ililazimisha sare ya kufungana mabao 3-3.Sare...
 KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo Januari 6 dhidi ya FC Platinum 
 SIMBA wanatarajiwa kuwa uwanjani jioni ya leo Jumatano kucheza dhidi ya FC Platinum ya Zimbabwe katika mchezo wa pili wa Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika.Huo ni mchezo wa lazima kwa Simba kushinda tena kwa tofauti ya...
 KIKOSI cha Azam FC, leo Januari 6 kimewasili salama visiwani Zanzibar ambapo kimekwenda kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi.Tayari michichuano hiyo imeshaanza kurindima na jana Januari 5, mabingwa watetezi Mtibwa Sugar walifungua pazia kwa kumenyana na Chipukizi, Uwanja wa...
 TADDEO Lwanga, ingizo jipya ndani ya kikosi cha Simba kuna hatihati ya kuukosa mchezo wa leo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya FC Platinum kutokana na kusumbuliwa na majeraha.Nyota huyo raia wa Uganda ambaye ni kiungo mkabaji alipata...
 UONGOZI wa Mtibwa Sugar umeweka wazi kwamba utafanya vizuri kwenye Kombe la Mapinduzi kwa msimu huu wa 2021 kwa kuwa umejipanga kufanya hivyo.Mtibwa Sugar ni mabingwa watetezi walianza vizuri jana, anuari 5 kwa kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi...
 MZAMIRU Yassin kiungo mkabaji wa Yanga anatajwa kupewa mikoba ya Jonas Mkude leo Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya FC Platinum. Mkude amesimamishwa na Simba kutokana na kitendo cha utovu wa nidhamu huku ingizo jipya...
LEO Januari 6, Simba ina kibarua kigumu cha kusaka ushindi mbele ya Klabu ya FC Platinum kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa ambao ni wa marudio.Rekodi zinaonyesha kwamba Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck ndani ya dakika 180...