LEO Januari 6, Simba ina kibarua kigumu cha kusaka ushindi mbele ya Klabu ya FC Platinum kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa ambao ni wa marudio.Rekodi zinaonyesha kwamba Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck ndani ya dakika 180...
KOCHA Mkuu wa Tottenham Hotspurs, Jose Mourinho amesema kuwa siri kubwa ya kushinda kwenye mchezo wao dhidi ya Brentford ni kuwaheshimu wapinzani wake.Mourinho amesema:"Nimekuja England 2004 na kumbuka kwamba wakati huo ilikuwa ni lazima kwangu kujifunza katika jambo ambalo...
LICHA ya Kuwepo tetesi za kumalizana na Yanga, kiungo mshambuliaji wa Simba, Mzambia Clatous Chama ameingia hofu ya maisha yake endapo akitua Jangwani.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
KOCHA Mkuu wa Ruvu Shooting, Charles Boniface Mkwasa ‘Master’, ameweka rekodi ya kuwa kocha pekee mzawa aliyefanikiwa kukiongoza kikosi kuwa ndani ya nafasi tano za juu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara.Pia Mkwasa ni kocha mzawa pekee mzawa aliyefanikiwa...
UONGOZI wa KMC umesema kuwa unahitaji kutwaa Kombe la Shirikisho hivyo wapinzani wao wajipange kupokea kichapo watakapokutana uwanjani.Jana, Januari 5 ilishinda bao 1-0 dhidi ya Lipuli FC inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Uhuru. Bao pekee...
UONGOZI wa Simba, umeweka wazi kuwa hakuna sababu ya kushindwa kuwafunga Platinum FC kwenye mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambao utachezwa leo Jumatano kwenye Uwanja wa Mkapa. Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, amesema wana historia kubwa kwenye...
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano nakala yake ni 800
KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze amesema kuwa wamekutana na timu nzuri ndani ya Uwanja wa Amaan jambo lililowafanya walazimishe sare ya bila kufungana.Mchezo wa leo wa Kombe la Mapinduzi ambao ni wa makundi ikiw ipo kundi A pamoja...
BEKI wa zamani wa Klabu ya Liverpool, Jamie Carragher amesema kuwa itakuwa ngumu kwa timu hiyo kuweza kutetea taji la ubingwa wa Ligi Kuu England ikiwa haitasajili beki wa kati kwenye dirisha la usajili wa mwezi Januari.Beki huyo ambaye alicheza...
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo Januari 5 Kombe la Mapinduzi dhidi ya Jamhuri, Uwanja wa Amaan, visiwani Zanzibar1.Farouk Shikalo2.Paul Godfrey3.Adeyum Saleh4.Juma Makapu5.Abdul Shaibu6.Tonombe Mukoko7.Chibada8.Mauya Zawadi9.Wazir Jr10.Niyonzima11.A.YunusAkibaRamadhan KabwiliShomari KibwanaA.HusseinYacoubaMichael SarpongKisinda Tuisila