KOCHA Mkuu wa Manchester City, Pep Guardiola amesema kuwa vijana wake walistahili kushinda kwa kuwa walijituma mwanzo mwisho wakiwa darajani.Manchester City ilishinda mabao 3-1 dhidi ya Chelsea ya Frank Lampard wakiwa ugenini ndani ya Stamford Bridge kwenye mchezo wa...
INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Simba Charles Ilanfya huenda akatolewa kwa mkopo kwenda ndani ya Klabu ya Coastal Union baada ya mabosi wake wa zamani KMC kumchunia.Nyota huyo ambaye ni chaguo la Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck kwenye usajili...
BEKI wa kutegemewa ndani ya kikosi cha Biashara United, Abdulmajid Mangalo anayekipiga ndani ya Biashara United anatajwa kuingia rada za Yanga.Beki huyo ambaye ni nahodha pia ni mhimili ndani ya Biashara United inayonolewa na Kocha Mkuu, Francis Baraza.Ni chaguo...
KIUNGO Mzawa Said Ndemla amemkosha Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck na kusema eneo la kiungo mkabaji limepata mchezaji mbadala kuelekea kwenye mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya FC Platinum.Eneo hilo kwenye mechi za Ligi Kuu Bara...
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa utaongeza nyota wawili ndani ya kikosi hicho kwa ajili ya kuongeza nguvu ndani ya Ligi Kuu Bara pamoja na Kombe la Shirikisho.Tayari Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina imemalizana na mshambuliaji...
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu,Januari 4
KIKOSI cha Biashara United chenye maskani yake Mara leo Januari 3 kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Gwambina FC.Ikiwa Uwanja wa Gwambina Complex imeibuka na ushindi huo kwa bao la Deogratius Mafie aliyepachika bao hilo dakika ya...
ANAYESEMEKANAkuwa baba wa nyota wa Klabu ya Simba, Meddie Kagere, Vedasto Katologi ameibuka na kusema yeye ni baba wa nyota huyo. Katologi ameliambia Championi Jumamosikuwa, alimpata Kagere baada ya kuwa na uhusiano na mwanamke wa Burundi ambaye hamkumbuki lakini anafahamu...
BAADA ya kuenea kwa tetesi nyingi juu ya usajili wa straika mpya wa Yanga, raia wa Congo, ambaye ni mchezaji wa zamani wa timu ya Angers ya Ufaransa, Ferebory Dore, anayetajwa kama pacha wa Said Ntibanzokiza ‘Saido’ anatarajia kutua...
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa kwa sasa akili zao ni kwenye Kombe la Mapinduzi ambalo linatarajiwa kuanza kutimua vumbi Januari 5. Kikosi cha Azam FC kinachonolewa na George Lwandamina kinatarajiwa kutia timu Visiwani Unguja, Januari 4 na...