PATRICK Aussems, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba ambaye alipigwa chini akiwa ameiongoza timu hiyo msimu huu wa 2019/20 kwenye mechi 10 amesema kuwa itakuwa ngumu kwa Klabu ya Simba kuvunja rekodi ya kutinga hatua ya robo fainali kwenye michuano...
KESHO kikosi cha Yanga kitakuwa na mechi ya Ligi Kuu Bara itakayochezwa Uwanja wa Majaliwa dhidi ya Namungo FC.Namungo FC ipo nafasi ya nne kwenye msimamo ikiwa na pointi 49 kibindoni inakutana na Yanga iliyo nafasi ya tatu ikiwa...
MSHAMBULIAJI wa Chelsea, Callum Hudson-Odoi amesema kuwa kwa sasa anaendelea vizuri baada ya kufuata kanuni za afya ili kupona virusi vya Corona.Nyota huyo mwenye miaka 19 alikutwa na virusi vya Corona baada ya kufanyiwa vipimo kutokana na kuhisiwa kwamba...
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi, nafasi ya kushinda Gari mpya kwa 800 ni yako rahisi sana jipatie nakala yako
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa ameshangazwa na wachezaji wake kupoteza mbele ya KMC licha ya kutoka kuimaliza Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopita Machi 8 kabla ya kumenyana na KCM Machi 11.Yanga ilikubali kichapo...
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo amesema kuwa kwa sasa kikosi chake kinajiandaa na mchezo wake wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Jumapili Uwanja wa Majaliwa.Namungo ipo nafasi ya nne kwenye msimamo ikiwa na pointi 49...
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachezaji wake wote ni wazuri ila anashindwa kuwatumia kutokana na kushindwa kumshawishi pale wanapopata nafasi.Miongoni mwa nyota ambao wamekuwa wakikosekana uwanjani ni pamoja na Ibrahim Ajibu, Shiza Kichuya, Said Ndemla, Yusup...
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa watani zake wa jadi Simba washukuru kwa kuwa aliumia angewaliza kwa mabao mengi siku ya Machi 8 Uwanja wa Taifa.Morrison aliyepachika bao la ushindi wakati Yanga ikisepa na pointi tatu mbele...
GADIEL Michael, beki wa Simba amesema kuwa ushindani wa namba kwenye timu ni jambo la kawaida duniani kote na linaleta ukomavu kwa mchezaji. Nyota huyo alijiunga na Simba akitokea Simba vita yake kubwa ya namba ni mbele ya bosi...
NDANI ya CHAMPIONI jJumamosi kuna kila kitu kuhusu kkusimamishwa kwa Ligi Kuu England, kesho Jumamosi, Machi 14.