NEVERE Tegere, nyota mpya wa Azam FC amesema kuwa sababu kubwa inayomfanya awe anatupia mabao anapopata nafasi ni mazoezi ya mara akwa mara anayoyafanya akiwa peke yake.Tegere ametupia jumla ya mabao matatu kwenye mechi zake mbili mfululizo ambapo alianza...
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kichapo mbele ya Yanga kinawaumiza na wana kila sababu ya kukubali kuchapwa kutokana na makosa yao wenyewe.Mara ya mwisho Yanga kuibamiza Simba ilikuwa ni mwaka 2016 wakati huo Kocha Mkuu alikuwa Hans Pluijm, raia...
MASHABIKI wa Simba kwa sasa wanaumia kwa kile ambacho wamekipata baada ya timu yao kupoteza mbele ya Yanga kwenye mchezo uliochezwa Machi 8, Uwanja wa Taifa majira ya saa 11:00 jioni.Simba ambao waliingia uwanjani wakiwa na imani ya kufanya...
SAFARI ya Ligi Daraja la Kwanza bado inaendelea ambapo kwa sasa timu zimeshaanza kupata picha ya kile ambacho walikuwa wanakifanya kwenye mechi zao za nyuma.Tunaona kwamba kwa sasa ushindani kwenye Ligi Kuu Bara unazidi kukua kwa kasi jambo linalofanya...
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa sababu kubwa ya kumpa kandarasi nyota wake Mudhathiri Yahya ni pendekezo la Kocha Mkuu Arstica Cioaba ambaye ni mkuu kwenye benchi la ufundi.Nyota huyo ameongeza kandarasi ya miaka miwili hivyo atabaki ndani ya...
MABINGWA watetezi wa Kombe La Ligi ya Mabingwa Ulaya, Liverpool Jana wamevuliwa ubingwa kwa kichapo cha mabao 3-2 dhidi ya Atletico Madrid.Kichapo hicho wamekipokea kwenye uwanja wao wa nyumbani wa Anfield na kufanya wasiamini walichokiona kutokana na kuamini kwamba...
MUONEKANO wa UKURASA wa Mbele Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi
JUMA Abdul, nahodha msaidizi wa Yanga amesema kuwa anaamini katika uwezo wa nyota wa Simba, Said Ndemla licha ya kwamba hajamuona kwa muda mrefu.Abdul amesema kuwa miongoni mwa wachezaji ambao amekuwa akiwafurahia wawapo ndani ya uwanja ni pamoja na...
SERGIO Ramos, nahodha wa timu ya Real Madrid amesema kuwa wana kazi ngumu ya kufanya ili kufikia malengo waliyojiwekea ya kutwaa ubingwa wa La Liga .Real Madrid ilikubali kichapo cha mabao 2-1 mbele ya Betis jambo lililowaumiza wachezaji wengi...
IMEELZWA kuwa ubora wa Anthony Martial ndani ya Manchester United unazidi kuimarika tofauti na awali kutokana na ujio wa nyota mpya ndani ya kikosi hicho.Gwiji wa Klabu ya Manchester United, Roy Keane amesema kuwa ubora wake unatokana na ujio...