KIKOSI cha Simba leo dhidi ya Singida United Uwanja wa Taifa
WALLACE Karia, Rais wa Shirikisho la Soka kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) ambaye ni Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) amesema kuwa Rais wa CAF Ahmad Ahmad amethibitisha jina la Auka Geucho na kulipitisha ili...
LEO Uwanja wa Taifa Singida United iliyo chini ya Ramadhan Nswazurimo ina kazi ya kutibua rekodi iliyowekwa na Simba pindi wanapokutana kwenye mechi zao za Ligi Kuu Bara tangu kupanda daraja msimu wa 2017/18 kwa kufungwa mechi zote.Rekodi zinaonyesha...
Na Saleh AllyYANGA imeifunga Simba na kuwaacha wengi wakiwa hawaamini kilichotokea kwa kuwa ilionekana kuwa mechi hiyo ya pili ya Ligi Kuu Bara inayowakutanisha watani hao ilikuwa ni ya Simba kuonyesha kuwa watani wao walibahatisha, kwamba ilikuwaje Yanga wakapata sare ya...
MUUAJI wa Simba kwenye mechi ya watani wa jadi, Bernard Morrison amesema kuwa shangwe za mashabiki wa Yanga zilimpa nguvu ya kupambana kwa ajili ya timu na mashabiki pia.Kiungo huyo raia wa Ghana aliifungia bao timu yake ikiwa ni...
KIKOSI cha Simba kilicho chini ya Mbelgiji, Sven Vandenbroeck kimecheza jumla ya mechi 27 ndani ya Ligi Kuu Bara.Kimeshinda mechi 22 ambazo ni nyingi kuliko timu nyingine zilizocheza mechi 27.Mbinu ya sare kwake ni ngumu kwani kina sare mbili...
SINGIDA United iliyo chini ya Kocha Mkuu, Ramadhan Nswanzurimo imecheza jumla ya mechi 27 kwenye Ligi Kuu Bara.Imeshinda mechi mbili na kujivunia pointi sita katika mechi hizo ilizocheza ndani ya msimu wa 2019/20.Imepoteza mechi 19 ikiwa ni idadi kubwa...
MSIMAMO wa Ligi Kuu Bara upo namna hii kwa sasa
MCHEZO wa Ligi Kuu England kati ya Manchester City dhidi ya Arsenal uliopaswa uchezwe leo Jumatano kwenye Uwanja wa Etihad, umeahirishwa kutokana na bosi wa timu ya Olympiacos na Notingham Forest, Evangelos Marinakis kugundulika na virusi vya Corona.Bosi huyo...
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la BETIKA, nakala yake ni bure kabisa lipo mtaani