BAADA ya Simba kunyooshwa na watani zao wa jadi Yanga, Machi 8 Uwanja wa Taifa kwa bao 1-0 wamebakiwa na kete 11 mkononi kukamilisha mzunguko wa pili ndani ya Ligi Kuu Bara.Vigongo vyake vipo namna hii:-Simba Vs SingidaSimba Vs...
VerifiedBAADA ya Simba jana kuambulia kichapo cha bao 1-0 mbele ya Yanga Uongozi umewataka mashabiki kutulia na kukubali matokeo yaliyotokea.Ofisa Habari wa Simba Haji Manara ameandika kupitia ukurasa wake wa Instagram namna hii:-"Wanasimba wenzangu niwape salaam zangu fupi za...
NYOTA wa zamani wa Barcelona, Cristian Tello ameipa nafasi timu yake ya zamani kubaki namba moja kwenye msimamo wa La Liga baada ya kuifungia bao la ushindi timu yake ya Real Betis wakati ikiichapa mabao 2-1 Real Madrid.Bao la...
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa alichokifanya mbele ya Simba ni sehemu ya kitu anachokipenda na imetokana na sapoti ya mashabiki kujitokeza kwa wingi uwanjani.Morrison, jana Machi 8, Uwanja wa Taifa alizima kelele za mashabiki wa Simba...
KICHAPO alichopokea Kocha Mkuu wa Manchester City Pep Guardiola cha mabao 2-0 mbele ya Manchester United kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa Uwanja wa Old Trafford kumefungua njia kwa Liverpool kujihakikishia nafasi ya kutwaa ubingwa mapema kabla ligi...
JOHN Bocco, nahodha wa Simba amesema kuwa kilichowaponza kushindwa kusepa na pointi tatu jana Machi 8,2020 mbele ya Yanga ni kutokuwa makini kuzitumia nafasi walizotengeneza.Simba ilichapwa bao 1-0 na Yanga kwenye mchezo wa mzunguko wa pili na kuifanya iache...
MSIMAMO wa LIGI Kuu Bara baada ya Mnyama kupokea kichapo cha bao 1-0 mbele ya Yanga, Jana Machi 8,2020
MUONEKANO wa UKURASA wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatatu ambalo ukinunua una nafasi ya kushinda ndinga mpya kabisa
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga leo ametenda kazi yake iliyomleta Bongo kwa kuifunga Simba bao 1-0 kwenye mchezo wa mzunguko wa pili uliochezwa Uwanja wa Taifa.Bao pekee la ushindi lilifungwa dakika ya 44 kwa mpira wa adhabu alioupiga...