AZAM FC jana imeinyoosha Alliance FC ya Fred Minziro kwa ushindi wa bao 1-0.Mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Uhuru ulikuwa na ushindani mkubwa ambapo Alliance walikuwa wakipambana kufuta uteja mbele ya Azam FC.Kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Nyamgana,...
LEO Uwanja wa Old Trafford kutakuwa na mechi kali ya kibabe kati ya Manchester United dhidi ya Manchester City majira ya saa 1:30 kwa saa za Afrika Mashariki.Timu hizo msimu huu zimekutana mara tatu ikiwa ni kwenye lingi moja...
MUONEKANO wa UKURASA wa mbele GAZETI la SPOTIXTRA Jumapili
HIKI hapa kikosi cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Yanga Uwanja wa Taifa, kwa mujibu wa Gazeti la CHAMPIONI Jumatano na sabau zimetajwa namna hii:-Kipa: Aish Manula,rekodi zinambeba kuonekana kuwa bora kuliko mlinda mlango namba mbili Beno Kakolanya, leo...
KIKOSI cha Yanga kinachotarajiwa kuanza leo dhidi ya Simba, leo Machi 8, Uwanja wa Taifa kwa mujibu wa CHAMPIONI Jumatano na sababu zake zatajwa:-Kipa: Farouk Shikalo, uzoefu unambeba alikuwa langoni kwenye dabi ya Januari 4, Uwanja wa Taifa, Simba...
LEO uwanja wa Taifa, mashabiki wa Yanga watakuwa uwanjani huku wakiwa wamebeba matumaini makubwa kwa nyota wao ambao wanazidi kupambana wakiwa ndani ya uwanja.Yanga ipo nafasi ya tatu kwenye msimamo ikiwa imecheza mechi 24 na kibindoni ina pointi 47...
JUMA Abdul, nahodha msaidizi wa Yanga amesema kuwa wapinzani wao wasifikirie kupata njia ya kutokea kwenye mechi yao ya watani itakayochezwa Machi,8 Uwanja wa Taifa kesho kwani na wao wamejipanga.Mechi ya kwanza iliyochezwa Januari 4, Uwanja wa Taifa Simba...
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wachezaji wake wanachoka kwa kucheza mechi nyingi mfululizo jambo ambalo analifanya ni kuwapumzisha baadhi ya wachezaji wake ili kuwapa muda wa kupumzisha akili kabla ya kuvaana na Simba, kesho, Machi 8,2020.Akizungumza...
PEP Guardiola, Kocha Mkuu wa Manchester City ametoa tamko ambalo linaonyesha dalili kuwa kuna uwezekano mdogo wa nyota wake Kevin De Bruyne kuanza mechi ya kesho dhidi ya Manchester United.City itamenyana na United kesho kwenye mchezo wa Ligi Kuu...
BONDIA mstaafu wa ngumi, Floyd Myweather amesema kuwa Deontay Wilder anaweza kumpiga Tyson Fury katika pambano lao la marudiano iwapo atakubali kufundishwa naye kuelekea kwenye pambano hilo.Fury mwenye miaka 31 alimnyoosha Wilder mwenye miaka 34 kwenye pambano la uzito...