UNAMKUMBUKa yule straika ambaye Simba ilitangaza kumsajili kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2018/19?Straika huyo si mwingine bali ni Vitalis Mayanga aliyekuwa Ndanda FC ambaye katika msimu wa 2018/19,...
MANCHESTER United wanampigia hesabu za kumsajili mshambuliaji wa kikosi cha Frankfurt, Sebastien Haller kwa ajili ya msimu ujao.United wanaitaka saini ya mchezaji huyo ili awe mbadala wa nyota wao Romelu Lukaku ambaye anahitaji kusepa ndani ya kikosi hicho.Kikosi cha...
Serikali imewafikisha mahakamani watu wanne kujibu shtaka la kuchapisha maudhui katika mtandao wa YouTube bila kibali kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Washtakiwa hao ni Charles Kombe (24) mkazi wa Mikocheni, John Chuwa (28), mkazi wa Baracuda, Amos Warema...
INADAIWA beki kisiki wa Yanga, Andrew Vincent ‘Dante’ anawaniwa na mabingwa wa Kombe la Shirikisho (FA), Azam FC ambayo msimu ujao itashiriki Kombe la Shirikisho Afrika.Dante amekuwa mmoja kati ya mabeki wa kati wa Yanga waliofanya vizuri msimu wa...
CRISTIANO Ronaldo mchezaji wa timu ya Taifa ya Ureno amesema kuwa bado ana imani ya kuitumikai timu yake ya Taifa kwa kubwa bado ana nguvu.Licha ya kuwa na umri wa miaka 34 bado amekuwa ni msaada ndani ya kikosi...
Kimsingi si Lipuli Fc ndio alitakiwa aende kushiriki michuano ya Kimataifa kwa msimu ujao kwa maana ya Kombe la shirikisho Africa na ni KMC kwa mujibu wa kanuni.Baada ya CAF kuthibitisha Tanzania itakua na wawakilishi wanne katika...
Kauli ya Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara kuhusiana na Yanga kupata nafasi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika.
KATIKA kuliboresha benchi lao la ufundi, uongozi wa Yanga upo kwenye mazungumzo ya mwisho na Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime kwa ajili ya kumletea msaidizi Mwinyi Zahera.Hiyo, ni mara ya pili kwa Yanga kutangaza kumpa ukocha msaidizi...
KAMA zali tu vifaa vipya ambavyo vitavaa jezi za Yanga msimu ujao vina nafasi kubwa ya kukipiga dhidi ya timu za TP Mazembe na Al Ahly, hiyo ni baada ya wapinzani wao Simba kuwakutanisha na timu hizo.Hatua hiyo imekuja...
Baada ya taarifa kutoka na kuonyesha kuwa sasa Tanzania itakuwa na timu nne katika mashindano ya CAF, tambwe nyingi zimeenea hadi kupelekea msemaji wa timu ya Simba kutoa maneno ya utani/kejeli kuhusu nafasi hii.Kandanda imejaribu kuangalia kwa...