BAO la dakika ya 65′ la mchezo lililofungwa na mshambulizi raia wa Zambia, Obrey Chirwa limeipata taji la kwanza la kombe la FA klabu ya Azam FC baada ya kuilaza Lipuli FC goli 1-0 katika mchezo wa...
YANGA bado wako bize kwelikweli na mambo ya usajili ambapo juzi usiku walikamilisha usajili wa mastaa wawili ambao wanaaminika watabadili mambo na kuirejesha ile Yanga ya kimataifa msimu ujao.Klabu hiyo yenye makazi yake mitaa yenye kelele kibao pale Jangwani...
Azam FC imeandika rekodi ya kutwaa taji la Kombe la Shirikisho 'Azam Sports Federation CUP' kwa mara ya kwanza kufuatia ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Lipuli FC katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Ilulu mjini Lindi.Bao pekee la Obrey...
Kikosi rasmi cha Azam FC kitakachokipiga dhidi ya Lipuli kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup)16 Razak Abalora14 Nickolas Wadada03 Daniel Amoah05 Yakubu Mohammed06 Agrey Moris (c)22 Salmin Hoza27 Mudathir Yahya08 Salum Abubakar07 Obrey...
NAHODHA wa timu ya Taifa, Mbwana Samatta amesema kuwa mashabiki kesho wajitokeze kwa wingi uwanja wa Taifa kutoa sapoti kwenye mchezo wa hisani dhidi ya timu ya Ali Kiba utakaochezwa majira ya saa 10:00 Jioni.Akizungumza na SalehJembe, Samatta amesema...
Kikosi cha Lipuli dhidi ya Azam FC hiki hapa1. Mohammed Yusuph2. William Lucian3. Paul Ngalema4. Haruna Shamte5. Novarty Lufunga6. Fred Tangalu7. Miraji Athuman8. Jimmy Shoji9. Paul Nonga10. D. Saliboko11. Zawadi MauyaKikosi cha akiba1. Mburulo2. Sonso3. Job4. Chibwabwa5. Issah6. Karihe 7....
INADAIWA kuwa beki wa Lipuli FC, Ally Mtoni ‘Sonso’ tayari amemalizana na uongozi wa Yanga kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara huku mwenye akifunguka kuwa ni kweli wapo kwenye mazungumzo.Sonso ni mchezaji ambaye alikuwa akiwindwa na...
Hance Mabena leo atakuwa mwamuzi wa kati kwenye mchezo wa fainali ya kombe la Shirikisho FA utakaochezwa uwanja wa Ilulu, Lindi majira ya saa 9:00 alasiri.Mabena atasaidiwa na Mohamed Mkono kutoka Tanga, mwamuzi msaidizi namba moja, Frednarnd Chacha kutoka...