NYOTA wa zamani wa Yanga, Haji Mwinyi Ngwali, ameshindwa kujizuia na kuibuka akiwatoa hofu mashabiki wa timu hiyo kuhusu kuondoka kwa kiungo mahiri, Stephane Aziz KI, kwa kusema klabu hiyo bado ina wachezaji bora wanaoweza kuchukua nafasi yake bila...
MABOSI wa Yanga, wameendelea kufanya yao kimyakimya katika mchakato wa kusaka kocha atakayepewa nafasi ya kuiongoza timu hiyo kwa msimu ujao huku zoezi hilo likichukua sura mpya baada ya kuamua kuliongeza jina la kocha mmoja kutoka nyumba ya vipaji...
BILIONEA wa Klabu ya Simba, Mohammed ‘MO’ Dewji ameridhishwa na mafanikio ya timu hiyo kimataifa licha ya kwamba imeshindwa kubeba ubingwa wa Afrika kwa mara nyingine na fasta ameamua kufanya jambo moja linaloweza kuwapa furaha Wekundu wa Msimbazi.
Bilionea huyo...
KOCHA Msaidizi wa timu ya taifa, Taifa Stars, Jamhuri Kihwelo "Julio", amewataka viongozi wa klabu ya Simba wanaingia sokoni kusajili wachezaji wa kiwango cha juu kwa ajili ya michuano ya kimataifa.
Julio amesema kuwa ili Simba waweze kushindana vikali dhidi...
NYOTA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Simon Msuva, amesema ushindani mkubwa uliopo kwenye Ligi Kuu ya Tanzania unawalazimu wachezaji wazawa kuongeza bidii ili kupata nafasi katika vikosi vya kwanza vya timu zao.
Msuva amesema ongezeko la wachezaji...
KOCHA mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Hemed Suleiman 'Morocco', ametaja kikosi cha nyota 28 kwa ajili ya kujiwinda na mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya Afrika Kusini 'Bafana Bafana', itakayopigwa Juni 6 mwaka huu...
SIKU chache baada ya Simba SC kupoteza nafasi ya kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika, golikipa wa timu hiyo, Aishi Manula, ameibuka na kutoa kauli nzito kuhusu kilichotokea.
Simba imelikosa taji hilo baada ya kupoteza mchezo wa fainali kwa...
KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' ameendelea kushika vichwa vya mashabiki wa soka kutokana na tetesi za kuanza kuwindwa na klabu kadhaa kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano wa 2025-2026.
Licha ya kuwa jamaa ana mkataba...
Dar es salaam, Meridianbet leo hii tarehe 31 Mei wamefika katika hospitali ya Palestina ambayo inapatikana Sinza ambapo kwaajili ya kutoa msaada wa vifaa vya afya kwa kinamama ambao wanajifungua.
Msaada huo umejumuisha vifaa mbalimbali vinavyotumika katika huduma za afya...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, Ni pale Ujerumani katika dimba la Allianz Arena ambapo Meridianbet na Dunia nzima wanaenda kushuhudia Fainali kali ya Ligi ya mabingaw kati ya Psg dhidi ya Inter Milan.
PSG kutoka kule Ufaransa ndio mabingwa wa LIGUE...