Moja ya klabu za kihistoria kabisa katika soka la Hispania ni RC Celta, timu iliyoko katika mji wa Vigo huko Galicia. Katika msimu wa 2023/24, klabu ya Galician itasherehekea miaka 100 tangu kuanzishwa kwake, na hapa kuna mambo matano...
Ni mchezaji mmoja tu aliyeasisti mara mara mbili ambaye ni beki mpya wa Azam, Cheikh Sidibe aliyefanya hivyo kwenye mechi dhidi ya Kitayosce, huku akifuatiwa na utitiri wa wachezaji wenye asisti moja moja akiwamo Maxi Nzengeli wa Yanga ambao...
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Yanga Patrick Sibomana amekamilisha usajili wake ndani ya klabu ya Gor Mahia ya Kenya.
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Yanga Patrick Sibomana amekamilisha usajili wake ndani ya klabu ya Gor Mahia...
Kocha Mkuu wa Simba, Oliveira Roberto ‘Robertinho’ amekiri kikosi kina changamoto eneo la ulinzi na kipindi hiki cha mapumziko ameanza kuifanyia kazi ili timu ikirudi uwanjani iwe imefunga busta zinazoenda sawa na eneo la viungo na ushambuliaji.
Simba imecheza mechi...
Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga, Miguel Gamondi raia wa Argentina ameonyesha kutofurahishwa na kitendo cha mchezaji wake Zawadi Mauya kusababisha penati iliyozaa bao kwenye mchezo wao wa marudiano wa Klabu Bingwa dhidi ya ASAS FC ya nchini Djibouti.
Mchezo...
Klabu ya ASAS ya nchini Djibouti imeukubali mziki wa Yanga Sc baada ya kupokea kichapo cha bao 5-1 katika mchezo wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika uliopigwa jana Agosti 26 2023 katika Dimba la Azam Complex,...
Hakuna kitu kizuri kama kuiangalia Yanga ya Gamondi ikicheza, kama unadaiwa kodi, una njaa, una uchovu ama unaumwa homa ndogondogo basi ni dawa inayotibu kwa dakika 90 tulizoshuhudia pale Azam Complex, Chamanzi.
Hakuna kitu kigumu hivi sasa kama kutabiri kikosi...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Mashabiki wa Yanga wanaendelea kuchekelea baada ya kushuhudia timu hiyo ikianza Ligi Kuu kwa kishindo ikiifumua KMC mabao 5-0, lakini sifa zikienda eneo la kiungo kutokana na Pacome Zouzoua na Stephane Aziz KI walifanya balaa kubwa.
Yanga ilipata ushindi huo...