SIMBA SC katika anga la kimataifa msimu wa 2024/25 imegotea nafasi ya pili kwa kupoteza mchezo wa fainali dhidi ya RS Berkane ya Morocco.
Katika dakika 180, Simba SC ilifungwa jumla ya mabao 3-1, bao la kufutia machozi kwa Simba...
INAELEZWA kuwa winga chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Fadlu Davids ndani ya kikosi cha Simba SC, Ellie Mpanzu yupo kwenye rada za RS Berkane,Waarabu wa Morocco.
Mpanzu ni miongoni mwa wachezaji waliokuwa tegemeo katika kikosi cha Simba SC msimu...
AIR Manula amerejea ndani ya kikosi cha Azam FC akitokea kwa waajiri wake Simba SC akiwa mchezaji huru. Mkataba wa Air Manula na Simba SC ilikuwa mpaka 2025 tayari umegota mwisho.
Kwa msimu wa 2025/26 atakuwa ndani ya Azam FC,...
KIKOSI cha Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Julai 08 2025 kiliingia kambini Dar es Salaam kisha alfajiri ya kuamkia Julai 9 kimekwea pipa kuelekea nchini Misri kwa ajili ya kambi ya wiki tatu.
Hivyo kuelekea CHAN mambo ni...
HUENDA hii isiwe taarifa nzuri kwa mashabiki wa Yanga ambao walikuwa wakianza kuchekelea chinichini baada ya kuwahabarisha juu ya dili la straika wa ASEC Mimosas na MVP wa Ligi Kuu ya Ivory Coast (Ligue 1), Celestin Ecua lililobaki hatua...
BAADA ya kucheza dakika 11 kwenye mechi mbili za Kombe la Dunia la Klabu dhidi ya Manchester City na Juventus, kiungo mshambuliaji wa Wydad, Stephane Aziz KI huenda asiwe sehemu ya kikosi hicho msimu ujao huku ikielezwa ili abaki...
Nusu fainali kali kabisa kupigwa leo katika dimba la MetLife kati ya PSG vs Real Madrid. Fursa ipo mikononi mwako leo ukibashiri mechi hii kwa GG&3+ huku ukiongeza mechi zako zingine na kushinda zawadi kedekede ikiwemo bonasi.
Ni siku ya...
Meridianbet inakuletea promosheni ya kipekee ya Expanse Tournament, shindano la kusisimua la michezo ya sloti linalofanyika kuanzia tarehe 08 Julai hadi 22 Julai 2025. Katika kipindi hiki, wachezaji watakaokua nafasi za juu watapata zawadi mbalimbali, ikiwemo pesa taslimu na...
MAISHA yanaenda kasi sana unaambiwa, kwani kuna mambo nyakati flani msimu uliopita usingeweza kufikiria iwapo yangeibuka sasa na kutibua mioyo ya mashabiki wa Simba na hata viongozi.
Wakati msimu wa 2024/25 unaanza Simba haikuwa na malengo makubwa, ikitembea na kauli...
Je unajua kuwa Jumanne ya leo unaweza ukajipatia bonasi ya kibabe ndani ya Meridianbet kwenye mtanange huu wa Nusu Fainali ya Kombe la Dunia kati ya Fluminense vs Chelsea. Bashiri kwa GG&3+ na upate bonasi ya uhakika hapa.
Kila timu...