Jumapili ya leo itakuwa murua sana endapo itasindikizwa na mkeka wako ambao utakuwa umeusuka na Meridianbet. Leo hii timu kibao zipo dimbani kuhakikisha huondoki patupu. Ingia meridianbet na ubashiri sasa. Tukianza na LA LIGA leo FC Barcelona atakuwa mgeni wa...
Karibu Tanzania Moussa Pinpin Camara, wewe si kipa bora wa kwanza kufungwa Tanzania, nikuahidi. UTAFUNGWA TENA.. Hakuna KIPA ASIYEFUNGWA lakini gumzo huwa ni amefungwaje. Mabao mawili dhidi ya Kostal Union yanakupa majibu na tafakur kuwa ligi uliyopo si lelemama...si nyepesi...
BAADA ya klabu ya Simba kumtambulisha rasmi winga wa Kimataifa wa DR Congo Ellie Mpanzu, baada ya kusajiliwa kwa mkataba wa miaka miwili ambaye tayari ameanza kufanya mazoezi na Simba pale kwenye kambi ya Mnyama. Mfumo wa Simba kwa sasa...
KOCHA MKUU wa Simba SC Fadlu Davids ameonesha kupatwa na hofu, kuelekea mchezo wa Kariakoo dabi dhidi ya watani zao Yanga. Fadlu ameonesha hali hiyo mara baada ya kutoa sare ya 2-2 dhidi ya Coastal Union, siku ya Jana Ijumaa...
Feisal Salum kiungo wa mpira amekutana na mabosi wa Azam FC siku ya Jana Ijumaa, ili kujadili muafaka wake katika viumga vya Azam Complex Chamazi. Inaelezwa Feisal Salum hayupo tayari kuongeza mkataba mwingine na Azam FC, kwa mujibu wa taarifa...
Timu ya wanawake ya Simba SC, Simba Queens imefanikiwa kushinda nafasi ya tatu baada kuichakaza bila huruma magoli manne bila majibu timu ya CEASIAA katika mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu wa Ngao ya Jamii kwa timu za mpira...
Timu ya wanawake JKT Queens imeibuka bingwa wa Mashindano ya Ngao ya Jamii baada kuifunga Yanga Princes goli moja bila majibu. Vuta nikuvute katika mchezo huo uliamliwa na JKT Queens dakika ya 88 ya mchezo bila Yanga Princes kufurukuta. Kabla ya...
Wikendi ya leo murua sana ukibashiri na Meridianbet huku ukiwa na nafasi ya kuwa Milionea?. Mechi kibao zinachezwa leo huku Meridianbet tayari wameshakuwekea machaguo uyapendayo. Ingia na ubashiri hapa. Pesa ipo hapa kwenye mechi za ligi kuu ya Uingereza, EPL...
Leo ni Ijumaa ya kuondoka na mkwanja na kuweza kuianza wikiendi yako vizuri kabisa, Yote hayo unaweza kuyafanya kwa kuhakikisha unacheza mchezo wa Beach Penalties ili uweze kuondoka na maokoto. Umahiri wako wa kupiga mikwaju ya Penalty ndio inaweza kukufanya...
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu David amesema mchezo wa kesho (leo) wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union, utakaopigwa katika uwanja wa KMC Complex, uliopo Mwenge utakuwa mgumu. Amesema amewatazama wapinzani wao katika mechi zo walizocheza siku za...