MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally ametupa dongo kwa wapinzani wao kuwa wataendelea kuteseka baada ya kiungo wao, Yusuph Kagoma amerejea uwanjani.
Kagoma alikosa mechi na Dodoma Jiji kutokana na jeraha alilopata katika mchezo wa...
MABINGWA watetezi wa Ligi kuu ya NBC, klabu ya Yanga SC hii leo imeibuka na ushindi mnono wa bao 4-0, ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuanza kuanza kwa msimu mpya wa Ligi.
Yanga imecheza na Pamba Jiji ya Mwanza,...
AHMED Ally Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba amesema kuwa, timu hiyo imesajili vizuri zaidi msimu huu hivyo malengo yao ya kutinga hatua ya robo fainali, kombe la shirikisho Afrika lazima yatimie.
"Kama kuna vita kubwa tumewahi kupigana Simba kuhusu...
Mtangazaji na mwandishi wa habari za michezo nchini, Paul Mkai amesema kwamba ukiwaweka wachezaji wawili wa Simba Joshua Mutale na Ladack Juma Chasambi, basi yeye ataanza na Chasambi kwa sababu zifuatazo;
“Twende na hoja ukiniuliza Paul Mkai kati ya
CHASAMBI na...
Nilishuhudia mechi chache za AS Vita msimu uliopita akiwepo Elie Mpanzu, sio sababu yoyote kwanini asiwe tatizo / hatari kwa wapinzani katika michuano ya ndani hadi nje, anasaidia kuboresha / vitu vingi kwa timu yako ( Simba ) /...
Mnyama Simba Sports Club, Feisal Salum 'FEITOTO' ndiye mchezaji ambae yupo kwenye Target yao, mahitaji yao ni kumpata dirisha dogo la usajili la usajili na mazungumzo yameshaanza.
Simba ipo tayari kulipa kilichopo kwenye mkataba wa Feisal Salum ili ajiunge Simba...
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema kulingana na ratiba sio rafiki wachezaji wake Stephane Aziz Ki na Khalid Aucho kuwa muda wote hawawezi kucheza kwa kiwango bora zaidi.
Amesema anaridhishwa na kiwango cha wachezaji wake inawezekana kuna nyakati mambo...
Baada ya wikendi hii kushuhudia mechi mbalimbali zikipigwa sasa ni muda wa ligi ya mabingwa Ulaya ambapo timu nyingi kuchezwa leo huku nafasi yako ya kutusua na Meridianbet ikiwa ni kubwa.
Tukianza na timu kutoka Uingereza Manchester City wao watakuwa...
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kocha Fadlu Davids amehusika kwa asilimia 100 kwenye usajili wa wachezaji wa timu hiyo akiwemo mshambuliaji mpya Ellie Mpanzu.
Jumatatu Septemba 30, saa 5 usiku Simba imemtambulisha aliyekuwa mchezaji wa klabu ya As Vita ya...
Je, Unapenda Uvuvi? Meridianbet Kasino ya Mtandaoni imekuandalia safari ya kushangaza kwa ajili yako mwezi huu wa Septemba!
Endelea kucheza moja ya michezo ya kasino ya mtandaoni hapa chini, na unaweza kushinda zawadi kabambe na pesa kibao!
Big Bass Bonanza:...