Haya Mambo ya Man Of the Match Simba SC kwa Misimu mitatu mfululizo walikua wanazisikia kwenye bomba lakini Msimu huu, wanabeba kila Mechi.
Hizi tuzo zina Maana kubwa sana kwa Wachezaji wa Simba, kuongeza Upambanaji uwanjani lakini, Kucheza jihadi kila...
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga ambaye kwa sasa anacheza ndani ya FC Pyramids ya Misri Fiston Mayele, ameweka wazi kuwa mabosi wake wa zamani hao wana timu nzuri inayoonyesha ushindani kutokana na mwendo walionao katika mechi zao.
Ikumbukwe kwamba nyota...
MTANZANIA, Said Khamis 'Said Jr' ambaye ni kiungo mshambuliaji amepata shavu la kusajiliwa Peshmarga Sulaymaniya SC inayoshiriki Ligi daraja la kwanza nchini Iraq akiungana na Simon Msuva anayetumikia Al Talaba.
Nyota huyo amesajiliwa na timu hiyo akitokea FK Jedinstvo ya...
LIGI Kuu Bara inazidi kuchangamka ambapo kwa muda mrefu pale kileleni hujaiona Simba, Azam wala Yanga ikikaa. Fountain Gate na Singida Black Stars zimekuwa zikipishana.
Kidogo afadhali kwa Mnyama Simba imewahi kukaa pale juu msimu huu baada ya kushinda mechi...
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba Ahmed Ally ameweka wazi kuwa bado kiwango cha Simba hakijafikia asilimia 100% inayotafutwa na Kocha Fadlu Davids.
Kila mchezaji hajafikia asilimia kubwa ya kiwango chake ikiwa ni pamoja na Leonel Ateba, Jean...
JUMAPILI ya kufosi kwa Yanga ya Muargentina Miguel Gamondi imejibu kwa kuibuka na ushindi mbele ya KMC mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex.
Huu ni mchezo wa kwanza kwa Yanga kucheza uwanja wa nyumbani baada
ya kucheza mechi mbili ugenini kwa...
Klabu ya Simba imeshinda mchezo wake wa pili wakiwa ugenini kwa bao 0-1 dhidi ya wenyeji Dodoma Jiji.
Katika mchezo huo uliotawaliwa kwa kasi kubwa na ufundi wa makocha wote wawili, Fadlu kwa upande wa Simba huku Mecky Mexime kwa...
Ni kama tu Simba kule kwenye eneo la mbele wanashindana kukosa nafasi za kufunga, Ateba nafasi tatu zote kashindwa kufunga, kwa aina ya "profile" na alichokifanya dhidi ya Azam mchezo uliopita alipaswa kuipa Simba walau bao moja kwenye kipindi...
Samuel Etoo amesema Mataifa yenye Nguvu kisoka ngazi ya Vilabu kama Tanzania yanapaswa kuwa na timu 4 Kwenye michuano ya Ligi ya mabingwa Afrrika (CAFCL) na Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCĆ).
Rais huyo wa Shirikisho la Soka Cameroon (FECAFOOT), amesema...
Mchongo ni mmoja tu leo piga penalty ushinde kitita cha kutosha kupitia mchezo mpya wa kasino unaoitwa Beach Penalties ambao unaptikana kwa mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet.
Kwenye mchezo wa Beach Penalties unachotakiwa kukifanya ni kimoja kufunga penalty zako...