Leonel Ateba ni mshambuliaji mzuri, ndani ya mechi chache ameonesha kiwango murua sana na kuisaidia timu yake kwenye upatikanaji wa matokeo mazuri.
Kwenye mechi 4 alizocheza (tatu za ushindani na moja ya kirafiki) amefanikiwa kufunga magoli 3.
Lakini licha ya kufunga,ana...
MNYAMA Simba Sc ameendelea kuonyesha ubora wake msimu huu wa mashindano 2024/25 wakiwa chini ya kocha, Fadlu Davids kwa kuibuka na ushindi wa tatu mfululizo katika ligi bila ya kuruhusu bao baada ya kuichapa Azam mabao 2-O kwenye Uwanja...
KOCHA wa Azam FC, Rachid Taoussi ameonja joto ya Ligi Kuu Bara kwa mara ya kwanza baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Simba kwa mabao 2-0, lakini akaonyesha wazi kutofurahishwa na uamuzi wa refa Herry Sasii na wasaidizi wake...
Mechi za EUROPA siku ya leo zinaendelea baada ya jana kushuhudia mitanange mizito ikipigwa. Nafasi ya kuibuka Milionea ni yako leo. Ingia na ubashiri sasa.
AS Roma atamenyana dhidi ya Athletic Bilbao ya Hispania ambapo Meridianbet wanampendelea sana Roma kuibuka...
UONGOZI wa klabu Simba umemtangaza rasmi Kocha Yussif Basigi kuwa kocha mkuu wa timu ya wanawake, Simba Queens akichukuwa nafasi iliyoachwa na Juma Mgunda.
Meneja wa Simba Queens, Seleman Makanya amesema Basigi raia wa Ghana yupo nchini akiendelea kukisuka kikosi...
Na: Hashim Mbaga
TUNAENDELEA KUTOA UFAFANUZI
Katika Misimu Yote 8 ambayo inatumika Ranking Point toka 2018 hadi 2024-2025, Tanzania tumeweza kushiriki Misimu 7 Katika nafasi 11 Tofauti Tofauti kwa Timu Tatu ambazo ni Namungo, Yanga na Simba.
Timu Ya Namungo katika Msimu...
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wapo tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ken Gold unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Sokoine, Mbeya na kikubwa ni pointi tatu muhimu wanahitaji.
Mchezo huo ni wa pili kwa Yanga...
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa hawana hofu na wapinzani wao kwenye mchezo wao wa Mzizima Dabi ambao unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
Simba imecheza mechi mbili ndani ya Ligi Kuu Bara ambazo ni dakika 180 na...
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amesema anaiona Yanga ikiwa karibu na kutwaa ubingwa wa Afrika kwa miaka ya karibuni kutokana na viwango vya wachezaji na uongozi mzuri walionao kwa sasa.
Akizungumza jana kabla ya mchezo wao wa marudiano wa hatua...
Wiki iliyopita habari iliyotawala ulimwengu wa michezo Tanzania ni kauli ya nyota wa Azam FC na Taifa Stars, Feisal Salum ‘Fei Toto’ kuhusu uhusiano wake na rais wa klabu ya Yanga, Hersi Said.
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye siku...