Chimbo la michezo ya kasino ya mtandaoni, kila siku inatambulishwa michezo mipya na rahisi kucheza, na kushinda pia. Expanse ndio magwiji wa kutengeneza michezo ya kasino. Beach Penalties ni mchezo mpya wa kasino ya mtandaoni unaoweza kucheza kwa dau dogo...
WAPINZANI wa Yanga kimataifa, CBE SA ya Ethiopia wameipa Yanga jumla ya milioni 35 kwa kufungwa jumla ya mabao 7-0 ndani ya dakika 180 katika anga la kimataifa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Rekodi imeandikwa Septemba 21 2024 Yanga inayonolewa...
NYOTA wa Simba kiungo Edwin Balua aliyewazima wapinzani wao kwenye anga la kimataifa jioni amefichua alichoambiwa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kabla ya kuingia kwenye mchezo huo. Septemba 22 2024 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma...
WINGA raia wa DR Congo Ellie Mpanzu rasmi amemalizana na Simba kwa kusaini dili la miaka mitatu kuitumikia timu hiyo ambayo inanolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids.   Ikumbukwe kwamba Septemba 22 Mpanzu alikuwa Uwanja wa Mkapa kushuhudia timu hiyo ikicheza...
KOCHA Mkuu wa Mbuni, Leonard Budeba amesema, licha ya kikosi hicho kufanya usajili bora kwa msimu huu ila moja ya nyota anayempa matumaini makubwa ya kufanya vizuri ni mshambuliaji, Miraji Athuman 'Sheva' kutokana na uzoefu aliokuwa nao. Sheva amejiunga na...
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mkenya Duke Abuya juzi usiku alitokea benchi kwenye Uwanja wa New Amaan, Zanzibar kisha kufunga bao moja kati ya sita yaliyoizamisha CBE SA ya Ethiopia na kumpa mzuka mwingi nyota huyo aliyesema anaona safari ya...
WINGA wa JKT Tanzania, Shiza Kichuya amesema zama alizokuwa nazo za ubora kwa sasa zimeisha na anawaona Ladack Chasambi na Edwin Balua wanaokipiga Simba kuwa ndio wachezaji wazuri wanaoweza kurithi ufalme wake, iwapo tu kama watapata nafasi ya kucheza...
Hii ndio Simba tunayoitaka. Ndivyo baadhi ya kauli za mashabiki waliojazana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, wakati Simba ikiing’oa Al Ahli Tripoli ya Libya kwa mabao 3-1 na kutinga kibabe katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mashujaa...
Kamata mshiko wako haraka sana siku ya leo ukibashiri na Meridianbet. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. SERIE A leo kama kawaida mechi za maana zipo AC Monza atakuwa uso kwa uso dhidi ya Bologna majira ya...
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Yanga na sasa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ameibuka na kumkingia kifua nyota huyo. Licha ya kumtetea kukosa nafasi humtokea yeyote uwanjani, lakini akaenda mbali kwa kumtabiria makubwa nyota huyo wa kimataifa wa Zimbabwe,...