Home Uncategorized WACHEZAJI WANAOTEMWA YANGA HAWA HAPA

WACHEZAJI WANAOTEMWA YANGA HAWA HAPA


Hii hapa orodha ya wachezaji wanaoelewa kuwa wataachwa Yanga siku yoyote kuanzia hivi sasa huku nafasi zao zikichukuliwa na wale wanaofanyiwa usajili hivi sasa.

Pius Buswita
Amissi Tambwe 
Thabani Kamusoko 
Said Makapu 
Said Mussa
Matheo Anthony 
Juma Mahadhi 
Pato Ngonyani na
Burhan Akilimali

SOMA NA HII  HUU NDIO WAKATI WA MASHABIKI WA SIMBA KUFNYA MAMUZI MAGUMU