Home Uncategorized KAULI YA KWANZA NZITO YA JACQUELINE KWA MAREHEMU DKT. MENGI

KAULI YA KWANZA NZITO YA JACQUELINE KWA MAREHEMU DKT. MENGI

MKE wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited, marehemu Dkt. Reginald Mengi, Jacqueline Ntuyabaliwe,  kwa mara ya kwanza tangu msiba huo ulipotokea, ameingia mtandaoni na kuposti ujumbe kuhusu aliyekuwa mumewe huyo.


Kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika maneno haya mazito:

Today we would have been celebrating you,if I close my eyes I can see how you would have smiled when we sing happy birthday to you. There are no words to describe how much I and the kids miss you,waking up each day without you.Happy birthday my true love,forever in our hearts.

SOMA NA HII  WACHEZAJI SABA WA SIMBA WANAOPEWA NAFASI YA KUSEPA MSIMU UJAO