Imeelezwa kuwa beki wa kati anayekipiga katika klabu ya Es Metlaoui ya Tunisia, Ange Bares ameingia katika rada za kusajiliwa na Simba.
Beki huyo mwenye umri wa miaka 32 na raia wa Ivor Coast ameingia kwenye rada hizo ikiwa ni moja ya mapendekezo ambayo Kocha Patrick Aussems aliyataka ya kuhitaji beki mmoja katika nafasi hiyo.
Taarifa zinasema beki huyo aliwahi kuvichezea vilabu vya Horoya Athletic ya Guinea na Asec Mimosas ya Ivory Coast.
Imeelzwa kuwa wakala wake Patrick Gakumba ambaye amemalizana na bodi ya wakurungezi ya klabu ya Simba kumleta beki huyo ili achukue nafasi ya Juuko Murshid anayeondoka Simba.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.