Jarida linalotoa orodha ya watu ambao wanakusanya kiasi kikubwa cha pesa Afrika na duniani kwa ujumla ‘FORBES’ limekuja tena na orodha ya matajiri.
Katika orodha ya watu tajiri Afrika, Mtanzania ambaye amewekeza hisa zake katika klabu ya Simba na Mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo’ amezidi kupanda juu kutoka namba 16 mpaka 14.
Unaweza kuitazama listi kamili kwa kubofya hapa chini