Mabingwa wa Ligi kuu Bara kwa msimu huu Simba SC wanaendelea tena na ratiba yao ya kutangaza wachezaji wapya.
Simba imejiwekea ratiba ya kila ifikapo saa saba itatangaza wachezaji wapya iliowasajili kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.
Kupitia ukurasa wao wa Instagram, Simba wameandika juu ya namna saa saba navyosubiriwa leo huku wakiposti picha ya Zana Coulibaly.