Uncategorized

NYOTA MPYA KMC AIYEE AKIWASHA

admin June 30, 2019 6:33 am

MSHAMBULIAJI mpya wa KMC, Salim Aiyee ambaye amesaini kandarasi ya miaka miwili amesema kuwa msimu ujao atatacheka na nyavu mpaka achoke.

Aiyee akiwa Mwadui FC alitupia jumla ya mabao 18 kwenye ligi kuu msimu wa 2018/19.

“Nimetua KMC kufanya kazi maalumu ambayo naipenda, msimu ujao nitafunga mengi zaidi ya niliyofunga Mwadui FC, sapoti na ushirikiano ni jambo la msingi,” amesema.

NYOTA WA SIMBA AMCHIMBA MKWARA MO SALAH HATMA YA AJIBU KUJIUNGA NA SIMBA HII HAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply