Home Uncategorized MAMBO MAWILI MAKUU YALIYOWAFANYA SIMBA WAMALIZANE NA KAGERE CHAPCHAP

MAMBO MAWILI MAKUU YALIYOWAFANYA SIMBA WAMALIZANE NA KAGERE CHAPCHAP


Uamuzi wa Simba kumuongezea mshambuliaji wake Meddie Kagere miaka
Miwili umeelezwa umtokana na mambo mawili makubwa.


MOJA:
Ni baada ya Kagere raia wa Rwanda lufanya vema msimu uliopita akiibuka mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara. Hivyo Simba wameona makali yake bado wanatahitaji.


MBILI:
Simba imeona idadi ya timu zinazomfuatilia Kagere kutaka kupata saini yake zimeongezeka.

Hadi timu kubwa kama Al Ahly nazo zimeonyesha nia na Simba walichofanya ni kumpa mkataba na baada ya hapo ni lusubiri atakayemtaka amwage mamilioni.

SOMA NA HII  MANCHESTER UNITED WAINGIA KWENYE VITA NA BARCELONA,PSG KUISAKA SAINI YA AUBA