Uncategorized

YANGA YAFANYA MAAMUZI MENGINE KUHUSU AJIBU

admin June 12, 2019 9:36 am
meelezwa kuwa uongozi wa Yanga umeamua kubadili gia angani kwa kuanza mazungumzo ya kumuogezea mkataba kiungo wao Ibrahim Ajibu ambaye mkataba wake umememalizika ndani ya Yanga.
Taarifa imeeleza kuwa kwa sasa Ajibu yupo kwenye mazungumzo na Yanga ili kuona namna gani atarejea ambapo viongozi wamekuja na gia mbadala kwa kuifuata familia ya Ajibu.
Taarifa zimeeleza kwamba baada ya kuona Ajibu amegomea ofa ya ktua TP Mazembe uongozi wa Yanga ukazungumza na familia ya Ajibu ambao wao wanapenda kuona kijana wao akiwa Jangwani huku habar zikieleza tayari amelamba mkataba kwenye timu yake ya zamani Simba.

Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Fredirick Mwakalebela amesema kuwa wanajua uwezo wa Ajibu ila kwa sasa suala la mkataba wake hawawezi kulizungumzia.
BAADA YA STARS KUTANGAZA KIKOSI CHA MAANGAMIZI JANA, UGANDA NA KENYA NAO HAWA HAPA KILICHOMG’OA NDAYIRAGIJE KMC MPAKA KUTUA AZAM FC CHATAJWA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply