Home Uncategorized BREAKING: AJIBU APIGWA PINI MAZIMA SIMBA

BREAKING: AJIBU APIGWA PINI MAZIMA SIMBA


IBRAHIM Ajibu amesaini kandarasi ya miaka miwili kuitumikia timu ya Simba akitokea Yanga.

Ajibu msimu wa 2018-19 alikuwa kwenye ubora wake baada ya kutoa jumla ya pasi za mabao 17 na kufunga mabao sita.

SOMA NA HII  MABINGWA SIMBA WAANZA KUWATISHA UD do SONGO, KUPIGA MAZOEZI YA MWISHO LEO