Uncategorized

LAMPARD, CHELSEA KIMEELEWEKA

admin July 4, 2019 8:56 am



FRANK Lampard amesaini kandarasi ya miaka mitatu kuwa meneja mpya wa klabu ya Chelsea akichukua mikoba ya Maurizio Sarri aliyejiunga na Juventus.

Lampard mwenye umri wa miaka 41 amerejea ndani ya uwanja wa Stamford Bridge baada ya kuondoka miaka mitano iliyopita alipokuwa mchezaji.

Chelsea wamempa timu Lampard kutokana na kuaminiwa na bosi wa timu hiyo Roman Abramovich ambaye alikuwa akimkubali tangu zama akiwa mchezaji. 

AZAM FC WALIFUATA KOMBE LAO RWANDA LEO WABRAZIL SIMBA WAPIGA TIZI LA SAA MBILI DAR

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply