Home Uncategorized NYOTA WA BONGO ATIMKIA KENYA

NYOTA WA BONGO ATIMKIA KENYA


NYOTA wa kikosi cha Alliance , Dickson Ambundo amejiunga na klabu ya Gormahia ya Kenya kwa kandarasi ya mwaka mmoja.

Ambundo amejiunga na klabu hiyo kwa mkopo baada ya kumaliza mkataba wake na klabu yake ya Alliance. 

Kwa msimu wa 2019-20 Ambundo alifunga jumla ya mabao 10 ndani ya TPL.

SOMA NA HII  AZAM FC YATIA TIMU MOROGORO KAMILI GADO KUIVAA MTIBWA SUGAR