Uncategorized

PAUL POGBA AIKAZIA MANCHESTER UNITED, KUOMBA ASEPE ZAKE MSIMU UJAO

admin July 5, 2019 12:16 pm
IMERIPOTIWA kuwa Paul Pogba kiungo wa Manchester United ana mpango wa kuwaomba mabosi zake wampe ruhusa ya kuondoka ndani ya kikosi hicho kabla hawajafanya ziara ya kwenda Australia.
Pogba kwa sasa amekuwa hana mpango wa kubaki ndani ya United baada ya kusema kwamba anahitaji kupata changamoto mpya nje ya kikosi hicho.
Real Madrid na timu yake ya zamani ya Juventus zote imeripotiwa kwamba zinaiwinda saini ya nyota huyo ambaye Taifa lake la Ufarasa limetwaa kombe la Dunia.
WALTER BWALYA AIPA TANO SIMBA KWA KAHATA NAHODHA WA TIMU YA TAIFA AJIVUNIA UWEZO WA WACHEZAJI WENZAKE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply